kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
- Thread starter
-
- #21
Ninapesa, lakini sichangii Kila mtu, hata 100 ni helaSuala la umaarufu na kuhitaji msaada wa kibinadamu kama wengine wanavyohitaji havina uhusiano, kila mmoja ana lifestyle yake, kwaivo lifestyle ya amber ruty na michezo isiwe kigezo cha kutosaidiwa we sema tu hauna heraaa
Kama ulivyosema ni wasanii. Hata hizo pesa unaona ni usanii tupu kiingiacho hutoka kama kilivyo CR na DR hazibalance kutokana na ile tittle yao. Hakika ukiguswa changa.Wasanii wana pesa sana inabdi wanchangie mwenzao
Pole sana kwake
Ova
Wewe changiaWalioguswa watamchangia. Wewe endelea kuchangia mapovu.
By the way mimi sio shabiki wa Amber Rutty ila ni shabiki wa Ubinadamu. Tusijihesabie haki sana, kila mtu ana nafasi ya kubadilika.
Wanatakiwa wasaidiane wenyewSometimes hawa celebrities wa kibongo Mtu unakosa moyo wa kumsaidia kwa sababu ya kauli zao mda mwingine....
Alienda kuongezea makalio ya bandio surgery ikafeliNa mwingine kafa uko Uturuki.
Kama harusi tu sichangii, sijui kama nitachangia uyo..Alienda kuongezea makalio ya bandio surgery ikafeli
Kwani Amber Rutty ni msanii wa nini?Wasanii wana pesa sana inabdi wanchangie mwenzao
Pole sana kwake
Ova
CelebrityKwani Amber Rutty ni msanii wa nini?
Tukiwa wambia watu wanasema oooh ooh
Si alikuwa anaimba ,tz sahv asilimia kubwa ya watu ni wasaniiKwani Amber Rutty ni msanii wa nini?