Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
Huwezi kufananisha mauaji na kifiro cha mtu alitetaka mwenyewe bila kulazimishwa kwa raha zake.Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!
Acha kutuletea mitazamo na tamaduni za kipumbavu za kimagharibi.
Tendo lolote ambalo mwisho wake ni maangamizi hakifai kukaliwa kimya hata iwaje....
It was a joke. Sorry!Wapi nimesema nilikuwa natenda? Shwain wewe
BADILIKENIChadema inaingiaje hapa?
Sorry too... I overreactedIt was a joke. Sorry!
Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.
Sasa unabishana na sheria au unabishana na hakimu?
[emoji120]Sorry too... I overreacted
kwani ana kosa gani?delicious ni mboga so ataishi vizuri na godoro atapewa na nyapala na alivyo lojo lojo leo leo watamchakata
HahahahaCcm watawatoa wakaunganishe nguvu kwenye kampeni si wasanii hawa?
Hiv huyu sini shoga? Sasa shoga kumfunga gereza tena la wanaume sindio kumfungisha ndoa kabsa.James Charles (James Delicious) k
Sheria zinawekwa na watu, sasa unafikiri leo hii watanzania asilimia ngapi wanaweza kuvote hiyo sheria ifutwe?Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?
Yule mwanamke aliyekuwa na mwkj eti juzi kati kapewa deal la ubaloz wa nn sjuiMwaka 2014 kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika na kati ya waliohojiwa na gazeti la mwananchi 39% wanawake walikiri kufanya huo mchezo.wanaume 47% walikiri kujaribu kufanya hayo mambo natafuta ile Makala ya mwananchi niiweke hapa maana watanzania ni wanafiki sana.
Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?
upo sahihi mkuuKesi ipo inaendelea mzeee
Mambo ya kesi ukiwa nayo unaweza kuona kama mzamzaa vile..... Ndomana Unapokuwa na kesi usiidharau, uwe unaifuatiliaaa unaangalia namn gani ya kuimaliza
Ova
unaweza kumueleza haya mambo mtoto wako au unabwabwaja tuu hapa.Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
Pole kwake, hivi wafungwa wakike huwa wanakutana na wafungwa wa kiume??Jela hakuna chumba, ni hall tu mazee
ndiyo.Hivi kumbe sheria za nchi haziruhusu kufanya mapenzi kinyume na maumbile?