Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.
Sasa unabishana na sheria au unabishana na hakimu?
 
Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!

Acha kutuletea mitazamo na tamaduni za kipumbavu za kimagharibi.

Tendo lolote ambalo mwisho wake ni maangamizi hakifai kukaliwa kimya hata iwaje....
Huwezi kufananisha mauaji na kifiro cha mtu alitetaka mwenyewe bila kulazimishwa kwa raha zake.
 
Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.
Sasa unabishana na sheria au unabishana na hakimu?
Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?
 
hivi amberutty watoto wake wakija kuiona ile video duuu!!!!.huyo jamaa alikuwa ana uwezo wa kukataa coz sura yake haionekani angetafuta wakili mkubwa angeshinda
 
Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?
Sheria zinawekwa na watu, sasa unafikiri leo hii watanzania asilimia ngapi wanaweza kuvote hiyo sheria ifutwe?

Kama say majority hawakubaliani na huo ufirauni unaweza kusema sheria haijakaa sawa?
 
Mwaka 2014 kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika na kati ya waliohojiwa na gazeti la mwananchi 39% wanawake walikiri kufanya huo mchezo.wanaume 47% walikiri kujaribu kufanya hayo mambo natafuta ile Makala ya mwananchi niiweke hapa maana watanzania ni wanafiki sana.
Yule mwanamke aliyekuwa na mwkj eti juzi kati kapewa deal la ubaloz wa nn sjui
Leo wamesahau kma Alifanya madudu anaonekana Kioo cha jamii

Ova
 
Sibishani na sheria. Naongea kwa mtazamo wangu, sio kila sheria imekaa sawa, ndio maana kuna watu wanataka katiba mpya..huwashangai hao?
Hii ni sawa na mtu aliye jaribu kijiua ni kwanini mtu huyo aingiliwe na apewe kesi ya kutaka kujitoa uhai wakati ni maamuzi yake mwenyewe bila kishinikizwa.

Vitu vingine kujifanya civilized sana hatimae vizazi vyetu vinaharibika hivi hivi. Kuna kuwa na kizazi kilicho na watu wasio eleweka ni wao ni wanaume au wanawake.

Nature haina hiyo kitu hata wanyama porini tuu hawafanyi huo upumbavu ni haki yao kabisa kupewa hukumu kwa kwenda kinyume na NATURE.
 
Kesi ipo inaendelea mzeee
Mambo ya kesi ukiwa nayo unaweza kuona kama mzamzaa vile..... Ndomana Unapokuwa na kesi usiidharau, uwe unaifuatiliaaa unaangalia namn gani ya kuimaliza

Ova
upo sahihi mkuu
 
Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
unaweza kumueleza haya mambo mtoto wako au unabwabwaja tuu hapa.
 
Back
Top Bottom