mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,623
- 2,535
Tena hapo wameonewa huruma, Sheria inasema miaka 30 jela.Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
Sasa unabishana na sheria au unabishana na hakimu?