TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Covid? 😳

Alikuwa kafunuliwa tiba ya jero ya Corona. Tuka shauri avae barakoa, asikose maji tiririka na apatiwe chanjo haraka.

Kumbe waliyapuuza?!

Apumzike kwa amani mpendwa wetu huyu.

Bila shaka siyo covid. Kwanza mwendazake alisha tuvusha.
 
So sad, apumzike kwa amani, pole kwa wafiwa wote
 
Rest in heavenly peace genius
 
Dentist wetu alifariki kwa ajali mbaya sana akitokea Liliondo kwenye kikombe cha babu.
Road to hell was paved with good intention...
Kipindi kile biashara hii ililipa kuliko hata utalii na kubeba wazungu.
Tulikuwa tunapeleka watu wamebebwa na madripu yao!
Wengine wako kwenye near death expirience...
Tuapeleka wagonjwa waliolipia go & return ila ukifa sio mgonjwa tena tunachaji km maiti..au huwezi zikia hapo hapo loliondo..
Kiukweli hata mi nilikunywa kikombe tena zaidi ya mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…