TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Huyu mzee kiboko
Aingie tu kwenye historia kama wazee wenzake kina kinjekitile ngwale
Kusema kweli kipindi kile ilikua kama utalii
Alisomba karibia mtaa wetu wote na nusu ya ukoo wetu wote ilikua road to loliondo😂😂😂
 
Yeuwiiii, ametutoka wkt tunamwitaji vibaya atupatie nyungu tupige, nchi inaumwa ugonjwa wa koleo hatari mara 19 duniani kote.
 
Si lazima kwakuwa labda Wewe ni Mganga wa Kienyeji basi kila Ugonjwa unaokupata usiende Hospitali na uishie tu Kutumia Miti Shamba na Mizimu ya Kwenu. Ni lazima utakufa tu hakuna namna pia.
 

Ni nani huyu tena jamani. Mbona Sura yake ilikuwa hivi? Nahisi kikombe kilimsaidia kumpa uangavi.
 
Huyu alikuwa Kinjekitile wa zama hizi, ikiwa wa-Tz , maprofesa ma - Dr .na hata wzsomomi waliweza kumwamini Babu na madawa yake kwa nini wasiiamni chanjo ya Korona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…