AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

Huyo nae ni Ndezi kama jina lake ni nani aliyeibiwa kura katika ule uchaguzi ni CHADEMA?

Vyombo vya habari vya Wazungu vinajua sana kueneza propaganda na wa Africa tulivyo wajinga ndio maana tunauwana Kila siku na hatupigi hatia kiuchumi
Huu uandishi wako unajipinga wenyewe na hauna mashiko kabisa. Huwezi kusimama hapa kumshambulia mwanasiasa wa nje kama Dr Ndlozi anayewalipua wakuu wa SADC kuhusu demokrasia mchwara, halafu sentensi inayofuata useme CHADEMA waliibiwa kura. Kama unajua wazi kulikuwa na wizi wa kura, basi kiuhalisia unakubaliana na Dr Ndlozi kwamba kuna mchongo mzima wa uhalali wa kisiasa uliovurugika.
Kusingizia vyombo vya nje na propaganda ni kutafuta pa kutokea tu. Hakuna Mtanzania aliyesubiri ripoti za BBC au CNN kujua picha lilivyoenda site mwaka 2020; kila mtu anajua jinsi sanduku za kura zilivyojazwa kabla hata vituo havijafunguliwa na namna wapiga kura walivyopigwa kalenda. Kutaka kuaminisha watu kuwa kila ukweli unaotajwa unatoka kwa Wazungu ni kuwadharau wananchi walioumia na kushuhudia huo uonevu live. Hebu tueleze, una hofu gani hadi unajihami hivi, au wewe ni chawa unayeogopa kujulikana??
 

Chuki zao dhidi ya Rais Muislamu zinawasumbua

Wasipinge Uchaguzi wa Rwanda Uganda lkn
Wao wanapinga kuusu Tanzania 😂😂

Kweli UDINI ni Upumbavu ktk Dunia ya sasa

Mbaya zaidi Tanzania hatutegemei chochote Kutokea
Nchi kama Botswana nk
Wapambane na
Matatizo yao 😂🫎🫎

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni kiongozi wa Tanzania👈
wapinge 👈
wasipinge 👈
Hakuna cha maana zaidi ya kujionyesha Upumbavu wao wa kidini na YESU YESU YESU
wao 👈

Wangekuwa wa kweli wangeanza kupiga DOMO Rwanda na Uganda👈

hakuna Demokrasia yoyote kizaa Basigye kabakia macho tu 👈

lkn wakwapi watetezi wa Haki za Binadamu ‼️

Kanisa katoliki la Uganda lipo wapi kwakuwa Mu7 ni Mkatoliki mwenzao kimyaaaaaaa ✍️

WANAFIKI mbele RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN wanakwama mchana kweupe✍️
 
Huyo ni akina Heche wa huko hana jipya ANC imewashika kunako..... sasa hivi Afrika kwenye Uchaguzi ni Bao la Mkono tu..
Uchaguzi ni kama Kongamano la Mwamposa na Box la Kura ni Box la Miujiza maana hesabu za kura zinatokea mbinguni alipo baba..
Mchango wako unafurahisha sana, ndugu SankaraBoukaka, hasa kwa jinsi unavyojaribu kuleta ucheshi kwenye masuala mazito ya mustakabali wa bara letu. Hata hivyo, kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mchambuzi wa siasa na kuwa mshabiki wa ukiukwaji wa haki. Kujivunia "bao la mkono" na kuufanya utaratibu huo kuwa sifa ya Kiafrika ni kukiri wazi kuwa unafurahia kuburuzwa.
Pia, ungesaidia jukwaa hili kama ungelijulisha kuwa hujapata taarifa mpya na za sasa kuhusu ANC na EFF nchini Afrika Kusini kabla ya kuandika kwa hisia. ANC haijamshika mtu yeyote, badala yake ilipoteza daktari wake wa kura na sasa inalazimika kushirikiana na vyama vya upinzani ili kuongoza. Kuliko kushabikia maboksi ya miujiza yanayotoka mbinguni, labda ni wakati sasa wa kuanza kuomba miujiza hiyo hiyo ikusaidie kupata uelewa mpana wa jiografia ya kisiasa ya ukanda wetu.
 
I am not surprised to see this coming from you, a renowned Samia backside licker and CHAWA. Your argument relies heavily on emotional deflection and a severe lack of factual accuracy to avoid political accountability. First, playing the religion card is a cheap tactic to evade real questions about governance; democratic principles, human rights, and electoral transparency do not have a religion. Citizens of all faiths deserve fair governance, and criticizing political leadership is a constitutional right, not religious bias.
Second, your regional comparison completely falls flat due to basic factual errors. President Yoweri Museveni of Uganda is Anglican, not Catholic, which completely invalidates your conspiracy theory about the Catholic Church protecting him out of religious solidarity. Furthermore, dismissing SADC partners like Botswana shows a poor understanding of regional diplomacy, especially since Botswana hosts the SADC headquarters and regional stability is interconnected. Instead of inventing sectarian narratives to shield leaders from scrutiny, try addressing the actual issues of democratic integrity being raised.
 
Hii kulindana eti kwakua huyu ni chama tawala Sasa kumezaa maafa makubwa kwetu machawa ndio wamekua waamuzi wa mambo yote kina Mimi tukisema usiku yatakukuta oooooohi Tanzania yangu
 
Hii kulindana eti kwakua huyu ni chama tawala Sasa kumezaa maafa makubwa kwetu machawa ndio wamekua waamuzi wa mambo yote kina Mimi tukisema usiku yatakukuta oooooohi Tanzania yangu
Umemsoma huyu? (
hapo chini?
 
MUNGU mwacheni haitwe MUNGU

Lissu katamani sana Rais Dk Samia Suluhu Hassan hafike Mahakamani kwa Amri 🫎🫎

Lkn MUNGU Hataki Kuwapa nguvu Wanafiki wowote mbele ya Mja mwema
MUNGU hapendi kudhalilishwa Muumini wake mtiifu kwake
Mwenye kutenda wema kwa wangine

Lissu mwenye Kakiri kisheria huwezi mkokota. RAIS MAHAKAMANI
Watabaki na Machuki yao mbele za MUNGU RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni msafi

Wapumbavu watadhalilika wao kila Uchao ✍️
 
Umemsoma huyu? (
hapo chini?
Huyu ukimsoma vizuri anaweza akawa hata mbunge na waziri katika hiyo serikali ya mauwaji kajificha kwa I'd feki kwanamna hii huwezi shindana na mnufaika wa mauwaji siku zote yeye Samia kamugeuza kuwa mungu wake usione watu wanapotezwa ukafikili NI Baha'i mbaya Hawa binadamu was CCM wapo tu kwa MASILAHI yao walishajua kwenye uchaguzi ulikua wa haki hawatoboi
 
Ni vizuri watu huko south Africa wakaandama kupinga uwepo wake
 
mweshimiwa wasema kweli ambao maisha yao yalikatishwa au walikutana na misukusuko wengi wao ni walio nje ya Tanzania kuliko walio hapa nchini. tafsiri yake ni kwamba hakuna penye nafuu.

kiongozi mkuu wa hizo harakati ni Putin mwenyewe
Wazulu wanamsema Ramaphosa hapa hapa na anasikia sembuse mtu kutoka nje Mkuu huku hakuna kutekana kila mtu mamba wana siraha nyingi kuliko hata idadi ya simu jana polisi walivamia Alexander nyumba chache tu wamechukua bastola zaidi ya 100 ambazo hazina vibali..
 
msingi wa kurahisisha upatikanaji wa silaha hapo Sauzi ulitokana na nini ?
 
msingi wa kurahisisha upatikanaji wa silaha hapo Sauzi ulitokana na nini ?
Sijui ila nakwambia hapa hakuna kutekana kiboya kama huko mtu akihisi anafuatiliwa anafyatua risasi kama njugu kuna kanuni za kutembea ukiwa na siraha hapa hata ukikutana na polisi cha kwanza unawaambia nina siraha kama wanataka kusechi gari na ipo kisheria...
 
Paul Kagame alikuwa anawezaje kuwamaliza wabaya zake wakiwa huko Sauzi kirahisi rahisi ?
 
Paul Kagame alikuwa anawezaje kuwamaliza wabaya zake wakiwa huko Sauzi kirahisi rahisi ?
Walikuwa wanapewa hela na wengi baada ya kujaribu waliuawa alipona mmoja ni Mtanzania ambae yupo hai mpaka leo nasema kuteka mtu sio kuua Mtu.
Kuua mtu ni rand 500 tu kwa kichwa.
 
Sikatai "Demokrasia"; lakini ukweli wa haya uliyoandika hapa ni mjadala tatanishi.

Kuna maswala mengine mazito zaidi yanayoweza kuzingatiwa na hali ya nchi ikawa imara hata bila ya uwepo wa hiyo demokrasia.
Kati ya mambo ninayoyawekea mkzo zaidi kuliko hilo la demokrasia ni kuwa na viongozi wanaolipenda taifa wanaloongoza kwa dhati ya mioyo yao; wawe ni viongozi wanaojali maslahi ya wananchi wanaowaongoza, na maisha ya watu hao yawaguse moja kwa moja katika maamuzi yao yote.
Viongozi wanaofuata Sheria na taratibu zote zilizopo; ikiwa ni kuanzia kwa Katiba inayoiongoza nchi
Viongozi wasiopenda kuonea watu bila ya kufuata sheria zilizopo.

Viongozi wasiovumilia mambo yanayokwamisha ufanisi wa mipango iliyowekwa kulisukuma mbele taifa.

Na kwa maana hiyo, utaona kwamba sifa zote hizo za viongozi zinatuelekeza huko huko kwenye demokrasia; kwa sababu wananchi watakuwa ndio waamuzi wa viongozi wanaowataka wawaongoze, kwa sifa wanazozitaka wao.

Kama kiongozi anafanya kazi nzuri wanayoitaka wananchi, kutakuwa na sababu gani za kumwondoa kiongozi huyo katika uchaguzi uliowazi na HAKI.
 
Walikuwa wanapewa hela na wengi baada ya kujaribu waliuawa alipona mmoja ni Mtanzania ambae yupo hai mpaka leo nasema kuteka mtu sio kuua Mtu.
Kuua mtu ni rand 500 tu kwa kichwa.
kwamba kuua mtu ni kitendo cha dakika sifuri tu
na kwa hiyo hela hata mimi naweza kulipia mauaji ya watu kadhaa.
kweli hilo taifa ni jehanamu ndogo.

nje ya mada, kwani wanasema mademu wa Sauzi wanawapenda sana wageni?
 
kwamba kuua mtu ni kitendo cha dakika sifuri tu
na kwa hiyo hela hata mimi naweza kulipia mauaji ya watu kadhaa.
kweli hilo taifa ni jehanamu ndogo.

nje ya mada, kwani wanasema mademu wa Sauzi wanawapenda sana wageni?
Hapa panaweza pakawa salama kuliko Tanzania ambako unaona picha eti mtu katekwa Kariakoo huku matukio yapo ila sio nje nje sana kihivyo..
Wanawake wanawapenda wageni kwa sababu sio watu wa mazogo na wanawajali kuliko Kaka zao wao ndio wanataka hela kutoka kwa dada zao na muda mwingi wanataka kulewa tu hiyo mada ni ndefu sema sina muda mwingu wa kuandika hayo na chanzo chake mpaka huu mgogoro wa wageni na wenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…