Ameandika Polepole: Dios los bendiga a todosEmbajador Tanzano designado en Cuba

Kuna Lugha ya Ki Cuba?
Ninachojua Mhuni yeyote hawezi elewa lugha niliyotumia katika uzi huu. Uzi unaeleweka kwani mtu akisema Kielizabeth wewe unamwelewaje. Je kuna lugha ya kielizabeth? Wahuni waache kutuchangana. kama wameumia nao waende CUBA
 
Halafu unfortunately hiyo translator huwa haileti maana halisi (contextual meaning) bali yanyewe inaleta tu tafsiri ya neno kwa neno.

So unaweza kukusudia kusema kitu fulani ukitumia translator unajikuta grammatically umekosea vibaya sana.
Lakini jamani kwani kutumia translator ni tatizo? Kuna neno naweza kukupatia unitafsirie kwa kutumia translator na ukanipa maana ya uongo. Kutumia translator pia ni moja ya ujuzi.
 
Mjinga mwingine Chadema wanahisikaje na Ujinga wenu badala ya kujadili report ya Wizi wa Makada wenu mnajadili kuandika ujinga
Jana nimeandika nyuzi sita zinazohusu report ya CAG kwa kifupi report nmeshaichambua sana mpaka nimechoka. Fuatilia nyuzi zangu za jana. Nimetoa hadi teknolojia za kuwakamata kabla hawajaiba.
 
Huyu alionekana hapa Malawi ni karibu sana na nyumbani ikashauriwa atupwe mbali ndipo ikaangukia CUBA next atatupwa Afghanistan au Beirut au Ukraine
 
JF watoto wengi ndugu, akili zero halafu wanajiita Meneja Makampuni
 
Cuba wanatumia, lugha ya spain. zamani ilikua maeneo ya hispania katika makoloni yake ya america.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…