Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

Mimi naona yupo sawa,ana akili sana. Ukitawala wajinga itumie nafasi hiyo vizuri usije ijutia. Hayo ndiyo aliyokuwa anayapigania jaji Warioba;lakini mkawa mnampuuza
Hakuna hata senti ya Bara imeenda Zanzibar Kwa masuala yasiyo ya Muungano
 
i hate hiki kipepo kichafu
 
Uongo hautakusaidia bro,fanya utafiti usidhani sidi sote ni mbumbumbu:
1.benki ya tanzania ni moja tu na ina matawi sehemu nyingi mikoani na tawi la zanzibar ni sehemu ya benki kuu,na kumbuka benki kuu ilianzishwa na nchi 2 yaani tanganyika na zanzibar
2.zanzibar kuna tra ambayo inakusanya kodi za kimuungano lakini wana zrb kwa kodi za kizanzibari na zrb ilikuwepo hata kabla hajawa na mamlaka makubwa
3.usisahau kuwa zanzibar ilikuwa nchi kamili ikajiunga na tanganyika,hivyo na yenyewe ina haki sawa ya kufaidi mali za muungano,tuache chuki zisizo na msingi na uongo usiokuwa na maana yoyote ile
 
Zanzibar wana kila kitu wamelazimisha hadi Simba kacheza nusu fainali na fainali kwenye ardhi yao bila kumpa uhuru wa kuchaagua uwanja anautaka kama kwa Mkapa una kasoro, wazanzibari waliangalia manufaa yao ya kujaza hoteli zao
 
Hakuna unalolifahamu. Unapuyanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…