balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
- Thread starter
-
- #21
hivi tanzania kuna mwanaasha hamis wangapi???kama ulidhani unamuumbua kwa kutaja jina na namba yake imekula kwako!sidhani kama kuna mtu hapa ameiona hiyo hatari ya mwanaasha,umekosea mwenyewe,umejibu vibaya...na hiyo ndio stahili yako
kura napiga mkuu ila Mwanaasha ni hatari sana mkuu.
asante bwana Mc tilly,Mimi nimeona nishiriki na wanajukwaa kuhusu kilichonikuta Leo naona we we umepanic kweli na unatoa povu jingi,sawa ni mtizamo wako.Ila hujatenda sawa kumbuka Mzee Ben pale jangwan aliongea kama wewe tu.
nipe hiyo namba yake nimpe jamaa yangu wa tigo tumkomeshe wizi
jina lako limekuponza kila siku kumbuka dunia sasa ni kijiji utaonekana tu. Hivyo kuwa mkarimu kwa kila mtu hata kama humjui. Balimbonahi ishapitwa na wakatilaki mbili mkuu,mwanaasha ni hatari sana
oooh sorry nilisahau kukupa pole,pole mkuu!ila si umesema hela yenyewe atakula chipsi yai maana yake ni kidogo si ndio mkuu???mezea tu ndio maisha hasara zipo tu!
laki mbili mkuu,mwanaasha ni hatari sana
ni leo,majira ya saa saba nilikuwa namtumia MTU pesa yake nikakosea namba badala ya 071513... nikaandika 071523... nikatuma pesa.sikustuka mpaka mwenye hiyo namba aliponipigia Simu akawa ananiuliza wewe ni nani? huwa ninaamini MTU anayenipigia ndiye hupaswa kujitambulisha hi vyo hata alivouliza unakaa wapi nilimjibu,duniani.binti akakasirika sana akakata Simu,nilipogundua kukosea kutuma pesa na kumpigia binti simu loo!binti kawa mkali snasema hanirudishiii wala ni ni anadai nimemjibu vibaya.Nikamuomba akate anayotaka anirushie itakayobaki binti kagoma anasema,asante kaka kwa kunitumia pesa Leo nakula chips Kuku na soda.nikamuuliza unakaa wapi Naye amejibu nakaa duniani eti anataka nijifunze.kwahiyo Leo mwanaasha anakula chips Kuku na soda kwa pesa yangu.ni hayo tu kwa sasa.