Amekataa kunirudishia pesa niliyoituma kimakosa, kisa nilimjibu jeuri

Hahahahah

Sio chai bana(joto lote hili nikiwanywesha chai nitakuwa siwatendei haki) hahahah

Jamaa ilibidi anipigie hadi nikereke..

Akawa analia lia kuwa ni ada alikuwa anamtumia mdogo wake.......ikiwezekana nimrudishie hata nusu... ( halafu sijui hakupata akili ya kupiga kwenye mtandao wakamrudishia)

Nikaona isiwe shida nisije nikasababisha mtu akashindwa kufanya pepa buuure kwa sababu ya jeuri ya mtu mmoja

Hiyo ya kumrudishia robo tatu kama chai vile.................:majani7::majani7::majani7:
 
kamfungulie kesi. jina unalo, namba unayo na sehemu alipotoa pesa mnapajua. mjulishe kwamba unaenda polisi. hamna mtu atakubali kuwa wanted sababu ya 200k
 
Hivi ni sh ngapi hapa tunaziongelea? utashangaa elf 12.
 
Kwani ilikuwa sh ngapi, hebu taja na kiwango tukuelekeze namna ya kupata hela yako
 
Watz cjui tukoje? Mtu akikupigia cm akakuuliza jina humjibu vzr na ww uliyepigiwa ukimuuliza kwani unataka kuongea na nani aliyepiga naye hakujibu vzr. Km umeikuta namba fulan labda missed cal, salio au muda wa maongez ukipiga na hata ukijitambulisha utapata majibu kama ya mleta mada. . Tujirekebishe wajameni
 
Upo sahihi mkuu kauli zetu ni tatizo,
 
Mwanaasha Hamis ni hatari sana muogopeni!

Ni leo, majira ya saa saba nilikuwa namtumia MTU pesa yake nikakosea namba, badala ya 071513 nikaandika 071523, nikatuma pesa.

Sikustuka mpaka mwenye hiyo namba aliponipigia Simu akawa ananiuliza wewe ni nani? Huwa ninaamini mtu anayenipigia ndiye hupaswa kujitambulisha hivyo hata alivyouliza unakaa wapi nilimjibu duniani.

Binti akakasirika sana akakata simu. Nilipogundua kukosea kutuma pesa na kumpigia binti simu loo!, binti kawa mkali. Anasema hanirudishiii wala nini, anadai nimemjibu vibaya.

Nikamuomba akate anayotaka anirushie itakayobaki binti kagoma, anasema 'Asante kaka kwa kunitumia pesa, Leo nakula chips Kuku na soda'. Nikamuuliza unakaa wapi, naye amejibu 'nakaa duniani' eti anataka nijifunze.

Kwahiyo leo Mwanaasha anakula chips Kuku na soda kwa pesa yangu.

Ni hayo tu kwa sasa.

Mwambie wewe ni Freemanson hivyo hiyo pesa ni ya kumkaribisha na baada ya miezi km mitatu hivi atatakiwa kutoa Kafara ya mtu anayempenda sana.
 
kweli hasiyefunzwa kwao na ..... hufunzwa na mwanaasha.
 
Mwanaasha Hamis ni hatari sana muogopeni!

Ni leo, majira ya saa saba nilikuwa namtumia MTU pesa yake nikakosea namba, badala ya 071513 nikaandika 071523, nikatuma pesa.

Sikustuka mpaka mwenye hiyo namba aliponipigia Simu akawa ananiuliza wewe ni nani? Huwa ninaamini mtu anayenipigia ndiye hupaswa kujitambulisha hivyo hata alivyouliza unakaa wapi nilimjibu duniani.

Binti akakasirika sana akakata simu. Nilipogundua kukosea kutuma pesa na kumpigia binti simu loo!, binti kawa mkali. Anasema hanirudishiii wala nini, anadai nimemjibu vibaya.

Nikamuomba akate anayotaka anirushie itakayobaki binti kagoma, anasema 'Asante kaka kwa kunitumia pesa, Leo nakula chips Kuku na soda'. Nikamuuliza unakaa wapi, naye amejibu 'nakaa duniani' eti anataka nijifunze.

Kwahiyo leo Mwanaasha anakula chips Kuku na soda kwa pesa yangu.

Ni hayo tu kwa sasa.
Safi sana ujifunze..
 
Back
Top Bottom