balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
- Thread starter
- #61
Kwanza ww ni chama gani labda nianze na hapo kwanza
Mimi bana Mimi bana pesa yangu karudisha,jf inatisha.Mimi team mabadiriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ww ni chama gani labda nianze na hapo kwanza
Hiyo ya kumrudishia robo tatu kama chai vile.................:majani7::majani7::majani7:
Kipilipili endelea kufurahia JF mwanawane!!Hahaaaa......"muwoweeeeee" naona nyote ni "wacheshi" mna match vizuri
kumbe hela yenyewe ya chips... Nkajua ata anaenda kununua sonny smart tv!!!
Watz cjui tukoje? Mtu akikupigia cm akakuuliza jina humjibu vzr na ww uliyepigiwa ukimuuliza kwani unataka kuongea na nani aliyepiga naye hakujibu vzr. Km umeikuta namba fulan labda missed cal, salio au muda wa maongez ukipiga na hata ukijitambulisha utapata majibu kama ya mleta mada. . Tujirekebishe wajameni
Mwanaasha Hamis ni hatari sana muogopeni!
Ni leo, majira ya saa saba nilikuwa namtumia MTU pesa yake nikakosea namba, badala ya 071513 nikaandika 071523, nikatuma pesa.
Sikustuka mpaka mwenye hiyo namba aliponipigia Simu akawa ananiuliza wewe ni nani? Huwa ninaamini mtu anayenipigia ndiye hupaswa kujitambulisha hivyo hata alivyouliza unakaa wapi nilimjibu duniani.
Binti akakasirika sana akakata simu. Nilipogundua kukosea kutuma pesa na kumpigia binti simu loo!, binti kawa mkali. Anasema hanirudishiii wala nini, anadai nimemjibu vibaya.
Nikamuomba akate anayotaka anirushie itakayobaki binti kagoma, anasema 'Asante kaka kwa kunitumia pesa, Leo nakula chips Kuku na soda'. Nikamuuliza unakaa wapi, naye amejibu 'nakaa duniani' eti anataka nijifunze.
Kwahiyo leo Mwanaasha anakula chips Kuku na soda kwa pesa yangu.
Ni hayo tu kwa sasa.
Safi sana ujifunze..Mwanaasha Hamis ni hatari sana muogopeni!