Anasema nimesema namshtaki kwa hyo atanishtaki yeye,Ila uzuri kanirejeshea pesa yangu sina matatizo na mwanaisha tena walionicheki wameshindwa. tens.walionibeza limewashuka
hvi kweli ulishindwa kufikiria kupigia call center ya mtandao wako kuripoti hii ishu yako, tena wangesolve fasta tu ingerudi kwnye simu yako...kweli tunatofautiana..unless ilikuwa 5000 ukapna upuuzie