Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Huyu binti ni shemeji yangu.

Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu anakataa kisa mimi shemeji yake.

Sasa nikamwambia sasa kila mmoja akale anakopeleka mboga. Nikawa namsaidia kidogo kidogo tu ile kibinadamu (misaada muhimu tu) bila nia yoyote ya kimapenzi. Jana kanitext sms ya kuomba pesa ya kodi.

Je, nimjibu jibu moja litakalomuumiza kama nilivyoumia Mimi kipindi kile, au nikae kimya nikimaanisha HAPANA?

 
Kaa kimya
 
Poa. Nimekupata chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…