Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

Ktk umani unambiwa utaulizwa hivi?

Mali yako umeipataje?

Na uliitumiaje??.
Ukimsaidi mtu ukadai malipo ukiliowa imekwisha hiyo, ukimsaidia mtu alafu , usitangaze wala kudai malipo ni bora sananaaaa.


Zinaaa sio nzuli ktk jamiii lkn pia haimpendezi mungu.

Kuna kisa fulani ktk moja ya kutabu cha dini kinachohusu vijana 3 waliokuwa safalini kisha wakapatwa na mtihani , sasa kila mmoja aliamua asimulie wema aliowai kuufanya huwenda watapata nafuuu.

Mmoja kali ya wale akasema hivi. Kuna bint alikuja kuitaji msaada kwangu. Nikamwambia sitakusaidia mpaka tufanye ngono, yule binti kwa kuwa alikuwa na shida kweli akakubali akavua nguo na kumwambia jamaa afanye anachotaka, jamaa akaingiwa na hutuma akamsaidia bint pasi na kumgusa.


Njia rahisi ni hivi mkopeshe shemejio pesa mwambie akulipe mwisho wa mwezi , mpe nusu ya kodi. Hii itafanya asikuombe tena pesa kwa maaana akitaka kukuomba pesa unamwambia lipa ile ya mwanzo nikukopeshe nyingine
 
Huyu binti ni shemeji yangu.

Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu anakataa kisa mimi shemeji yake.

Sasa nikamwambia sasa kila mmoja akale anakopeleka mboga. Nikawa namsaidia kidogo kidogo tu ile kibinadamu (misaada muhimu tu) bila nia yoyote ya kimapenzi. Jana kanitext sms ya kuomba pesa ya kodi.

Je, nimjibu jibu moja litakalomuumiza kama nilivyoumia Mimi kipindi kile, au nikae kimya nikimaanisha HAPANA?

View attachment 2599833
HANA wazazi?
 
Huyo kashakufanya kiteka uchumi chake, anakutumia tu Wala Hana malengo na wewe.

Piga chini.
 
Back
Top Bottom