Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

Huyu binti ni shemeji yangu.
Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu anakataa kisa mimi shemeji yake.

Sasa nikamwambia sasa kila mmoja akale anakopeleka mboga. Nikawa namsaidia kidogo kidogo tu ile kibinadamu (misaada muhimu tu) bila nia yoyote ya kimapenzi.
Jana kanitext sms ya kuomba pesa ya kodi.

Je, nimjibu jibu moja litakalomuumiza kama nilivyoumia Mimi kipindi kile, au nikae kimya nikimaanisha HAPANA?

View attachment 2599833
safi sana anataka pesa aote nyapu fullstop
 
Omba nyapu
 
Sasa nikamwambia sasa kila mmoja akale anakopeleka mboga. Nikawa namsaidia kidogo kidogo tu ile kibinadamu (misaada muhimu tu) bila nia yoyote ya kimapenzi. Jana kanitext sms ya kuomba pesa ya kodi.

Shemeji yako anakuomba hela, kaka yako au rafiki yako anaembinua binua hampi hela?
 
Kosa lako la kubwa ni kumuomba mzigo shemeji.
Mashem hua hatuwaombi mzigo bali tunawawekea tu mazingira na kujikuta tayari tumeshakulana kimasihara.
Mnapiga hata bia moja moja halafu mnapitiwa na shetani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe ni mshamba. Achana na mambo ya messages kwenye ishu hizo. Huo ni ushahidi baadae utakaokushushia heshima yako. Hata simu usipige kuongea mambo hayo kwasababu kuna kurekodiwa. Mpigie mwambie muonane. Mkionana ndo mwambie uso kwa uso kwamba unataka mbususu.
Pia wakionana uso kwa uso, anaweza rekodiwa vile vile[emoji2]
 
Huyu binti ni shemeji yangu.

Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu anakataa kisa mimi shemeji yake.

Sasa nikamwambia sasa kila mmoja akale anakopeleka mboga. Nikawa namsaidia kidogo kidogo tu ile kibinadamu (misaada muhimu tu) bila nia yoyote ya kimapenzi. Jana kanitext sms ya kuomba pesa ya kodi.

Je, nimjibu jibu moja litakalomuumiza kama nilivyoumia Mimi kipindi kile, au nikae kimya nikimaanisha HAPANA?

View attachment 2599833
Mara nyingi demu akikukatalia shukuru Mungu, usikute ana ngoma ama maradhi mengine ya zinaa. Kata mawasiliano naye, atakupotezea muda tu. Usiwape nafasi mademu waombaji kama wagogo, hawanaga ishu hata kidogo.
 
Namna gani baharia anapaisha hapa la haulaa? Mkuu kosa la kwanza mambo nyeti kama hayo usitumie sms wala kupiga tengeneza mazingura ya kuonana tena na penyewe usitume sms na iwe sehem ambayo haitii mashaka kisha eleza jambo lako
 
Back
Top Bottom