Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

safi sana anataka pesa aote nyapu fullstop
 
Omba nyapu
 
Shemeji yako anakuomba hela, kaka yako au rafiki yako anaembinua binua hampi hela?
 
Kosa lako la kubwa ni kumuomba mzigo shemeji.
Mashem hua hatuwaombi mzigo bali tunawawekea tu mazingira na kujikuta tayari tumeshakulana kimasihara.
Aisee
 
Kosa lako la kubwa ni kumuomba mzigo shemeji.
Mashem hua hatuwaombi mzigo bali tunawawekea tu mazingira na kujikuta tayari tumeshakulana kimasihara.
Mnapiga hata bia moja moja halafu mnapitiwa na shetani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pia wakionana uso kwa uso, anaweza rekodiwa vile vile[emoji2]
 
Mara nyingi demu akikukatalia shukuru Mungu, usikute ana ngoma ama maradhi mengine ya zinaa. Kata mawasiliano naye, atakupotezea muda tu. Usiwape nafasi mademu waombaji kama wagogo, hawanaga ishu hata kidogo.
 
Namna gani baharia anapaisha hapa la haulaa? Mkuu kosa la kwanza mambo nyeti kama hayo usitumie sms wala kupiga tengeneza mazingura ya kuonana tena na penyewe usitume sms na iwe sehem ambayo haitii mashaka kisha eleza jambo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…