Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Serikali inaendeshwa na binadam au watu tuliowapa mamlaka na madaraka kwa niaba yetu...kwahiyo utatuzi wa changamoto zetu ni sisi wenyewe.USA wanasema hivi, NO PERMANENT FRIEND ..NO PERMANENT ENEMY.. SIJUI HII SERA KAMA MNAIJUA..NDIYO MAANA ATA MWL.NYERERE ALIN'GOKA KWA KUTOKUBALIANA NA UBEBERU WA KISASA
 

Hao mafala wa chadema akili zao ni za upinde ndiyo maana wanapenda dezo dezo

Huoni hata kwa wananchi wanapitisha bakuli kuomba omba kama siyo tabia za ushoga ni nini

Nani awape nchi vichaa hawa
 

Serikali uliwapa lini mamlaka mkuu? Hizo ni siasa😀
Mtu maskini, hana hela, hana mifumo, hana jeshi, anampaje mtu mamlaka?

Unatoa mamlaka kama unamamlaka.
Huna mamlaka huwezi kuyatoa.

Ni kuchezewa akili tuu
 
Wewe huwezi kutatua matatizo kama njia zote kazibiti huyo mwenye dola bila msaada wa third party ndio hio jumuiya ya kimataifa. Kama watu na anaendela kuteka sasa kasolve sasa kama unaweza
 

Mdau Nyani Ngabu uko sahihi kabisa, na hakika umeleta mjadala mzito unaoonyesha jinsi "maneno ya kisiasa yanavyozidiwa nguvu na uhalisia". Ni vigumu sana kumtetea kiongozi au serikali ambayo matendo yake yanapingana na ahadi zake yenyewe.
Tukiangalia kwa jicho la kiweledi, hii hali uliyoieleza inasababishwa na mambo makuu mawili:
  • Mgogoro wa Ndani ya Mfumo: Kuna mvutano mkubwa kati ya "baga la kihafidhina" ndani ya CCM linalotaka kutumia mbinu za zamani za mabavu, na upande mwingine unaotaka maridhiano ya kweli. Rais ameshindwa kukata kamba na kuchagua upande mmoja thabiti, matokeo yake anayumbishwa kama huyo mbawala uliyemueleza hapo barabarani.
  • Kuporomoka kwa Diplomasia ya Ndani: Huwezi kwenda nje ya nchi kujenga taswira ya "mwanamageuzi," halafu ndani ya nchi unaruhusu vyombo vya dola viendelee na siasa za kukandamiza upinzani na kesi zisizo na kichwa wala miguu (kama za akina Lissu). Jumuiya ya kimataifa sio wajinga; wanarekodi kila kitu, na ndio maana sasa hivi hofu ya ripoti za ICC na mabunge ya Magharibi inawanyima usingizi kama ulivyodadavua.
Ucheleweshaji huu wa makusudi wa kufanya mageuzi ya kweli ya kikatiba na kisiasa ndio utakaokuja kugharimu mfumo huu vibaya sana. Umepiga doti penyewe mkuu!
 
Wewe huwezi kutatua matatizo kama njia zote kazibiti huyo mwenye dola bila msaada wa third party ndio hio jumuiya ya kimataifa. Kama watu na anaendela kuteka sasa kasolve sasa kama unaweza
Tukipanua mawanda ya kufikiri ninao uhakika kua tunaweza kutatua matatizo yetu. Vipi tuwashauri nini USA kuhusu mauaji ya wana Iran?
 
Mfano huduma za afya hamna,amani hamna,mishahara hamna,shule na vyuo vimefungwa,usafiri hamna,... Hivi mbona maisha ya mitandaoni na huku uraiani ni tofauti sana
Hahahahaaa!
Mkuu acha tu. Achana kabisa na kiumbe kiitwacho binadamu......hiki kiumbe kikikuchukia utaomba ujiingilie zako kaburini.
 
We think you're dirt, You're black. You're not even a nigger. You're an African" - Nick Nolte
Hotel Rwanda

Wewe huwezi kutatua matatizo kama njia zote kazibiti huyo mwenye dola bila msaada wa third party ndio hio jumuiya ya kimataifa. Kama watu na anaendela kuteka sasa kasolve sasa kama unaweza
Nenda kaangalie hii movie inaitwa Hotel Rwanda , utakutana na hii quote

We think you're dirt, You're black. You're not even a nigger. You're an African" - Nick Nolte

 
Japo wanasema marehemu hasemwi ila magufuli alifeli sana kumtiaaaaa huyu mama kuwa makamu kitendo cha kumtiaaaaaaa kwenye umakamu ndio kimetufikisha hapa
Mama Samia ameweza tu kuongoza shida ninyie mwenye gender blindness kisa mwanamke...Wakati wa JPM mbona watu walitekwa na mikutano ya vyama vya siasa ilipigwa pini. Wakati wa Mkapa na Kikwete mmesahau kua kuna Wazanzibari waliuawa wakati wa uchaguzi au mnajisahaurisha? Mpaka wengine wakaikimbia nchi
 
Dogo utatabiri hadi 2030 Rais Samia atakapostaafu na kumpisha Rais mwengine kutoka CCM!
 
Watu hawajaaminishwa Mkuu watu wanajionea yale yanoendelea pasipo kuhadithiwa.
 
Hayo yoote ni mahangaiko yenu nyie halafu mnataka kulazimishia eti yanampa taabu Samia.
Mwajitesa wenyewe tu huku Samia akiendelea kumfyeka kila anayemzingua na hamna la kumfanya zaidi ya kujipa matumaini hewa nyuma ya keyboard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…