Hupo sahihi mkuu,hivi huyu tunabidi kuisubiri serikali ndiyo imshitaki kweli wakati sisi ndiyo tunaumia?Mkuu haya masuala yapo wazi..
Tusipindishe ukweli..
Magenge ya utekaji kama hayana baraka za watawala mbona wanaohusika wangesha chukuliwa hatua...
Mtu anaongea kwa ubabe kiasi hiko, na kwa kutishia wananchi kiasi hiko, hapo mvunja amani ni mwananchi kweli?
View attachment 3658864
Unakosea kujumuisha watu...aslimia ya kula aitokani na waliobidi kupiga kula bali kula zilizo pigwa mkuu. Mfano wanaobidi kupiga kula ni 10 ila wamepiga 6 na mgombea mmoja amepata kula 5 na mwingine 1 sasa weka kwenye aslimia mkuu,Yaan shida ya CCM hivi kweli mnasema watu wamevamia wamechoma vituo vya kupigakulahalafu mkashinda kwa asilimia 98%
Samia alipata kura million 31.Unakosea kujumuisha watu...aslimia ya kula aitokani na waliobidi kupiga kula bali kula zilizo pigwa mkuu. Mfano wanaobidi kupiga kula ni 10 ila wamepiga 6 na mgombea mmoja amepata kula 5 na mwingine 1 sasa weka kwenye aslimia mkuu,
Nahisi labda hana akili timamu…Samia alipata kura million 31.
Taasisi inapofeli kimsingi kiongozi ndiye ameifelisha.Speculations za kishoga shoga na wendawazimu
Samia ni Rais wa nchi hii
Na Ile ni Taasisi,kama kima mmoja anaonekana anakwamisha Taasisi anawekwa kando tuh
Kwahiyo mkuu akupata ngapi?Samia alipata kura million 31.