RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Huwa tukipanda nae gari tuna HAKIKISHA milango ime be locked by dereva asije fungua mlango mwisho wa siku akadondokaa 😂😂🤣Kumbe 😁😁
☺️😊☺️🤣🤣 kwahio inabidi unywe pipa moja ndo kichwa ikae biyee
Binti wa aina hii udakitari wake kaupata kwa kugawa mbususu!Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.
mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Hakika na ndio maana wengi wakivuta hawanyi pombe...Hili ndilo kosa lake huyu dk
Inaonekana alivyofaulu kwa HESHIMA ya mmea
Akaanza kudharau nakuchanganya na kilevi weweeee utaenda na mwendokasi peponi
Noma☺️😊☺️
degree za chupi 🤣🤣Binti wa aina hii udakitari wake kaupata kwa kugawa mbususu!
Nilimaanisha alcohol persistence/ persistent nikimaanisha ULE USTAIMILIVU WA MTU KUWEZA KUHIMILI/ KUMUDU POMBE NA KUITAWALA..ALCOHOL PERSISTENCE.au
ALCOHOL RESISTANCE.
In that case inabidi uulize kama baba au mama ni walevi kwa sababu hiyo inapunguza ALCOHOL RESISTANCE ya mtoto.
AiseWaswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.
mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Kuwa na akili ya kukariri ya darasani Haina maana kwamba mtu ana akili ya kujitambus yaani intrapersonal intelligence au social intelligence.Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.
mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Haijawahimwacha mtu salamaHakika na ndio maana wengi wakivuta hawanyi pombe...
Huwezi kuchanganya mmea + pombe lazima atavurugukiwa.
Ila wewe jamaa unaonekana una hamasisha matumizi ya bangi.Hakika na ndio maana wengi wakivuta hawanyi pombe...
Huwezi kuchanganya mmea + pombe lazima atavurugukiwa.
Nyinyi mmedanganywa Sana Bangi mmekatazwa na kutishwa mnaamini...Ila wewe jamaa unaonekana una hamasisha bangi.
Kwa kuwa wewe unatumia unaelezea kama ni jambo
zuri sana.
Huwez kuacha kutumia hela unazotafuta kwaajili ya kazi hiyo halafu usizitumie mjomba. Watoto wasomeshwe kwa gharama zozote ikitokea bahat mbaya sawa lakin ulitimiza wajibu. Unafikiri huko ulaya marekan au Australia hakuna hivyo sasa. We peekaboo shule tena ya kiume, mbona tumezaliwa nyumba za matope na tukatoka huko watu na unajenga ghorofa kwanini usirudie nyumba ya udongo kama unafikiri ni nzur.Ndio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.
Thank me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kwani wewe Magufuli alikuwa Mungu wako au ndio reference point yako?Nyinyi mmedanganywa Sana Bangi mmekatazwa na kutishwa mnaamini...
Bangi ina fungua lock 🔐 nyingi kwenye ubongo 🧠 na unakua na uwezo mkubwa wa kutenda/ uelewa / utendaji kazi wa mwili na akili.
Mataifa makubwa yaliyo fanikiwaa na yenye ukwasinie. Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power...ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa Sanaa...Ila kwa uzembe uzembe wa sisi waafrika/ mtu mweusi tumepotoshwa kuhusu bange inasemekana hata hayati JPM alikuaga anavuta alipo kuaga mwalimu sengerema secondary
🤣🤣🤣 huyo n stress ya mapenz enz ya uwischana wake alikuwa sriaz sana na kusoma sasa yaweza kuta alikuja kupenda tapeli kama mm alaf skuwa na mpango nae ndy yaliyo mkuta, ushaur muozeshen mapemaWaswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.
mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Was mabodabdoda necessaryHakuna English Medium inayotoa Master's ya udaktari. Soma mada uelewe.
Au unachotaka kumaanisha ni mtu aliyepata Master's ya udaktari hawezi kuwa kasoma shule za serikali, kwamba uwezo huo hazina zinatoa mabodaboda tu.
Wataelewa kwa njia ngumu na yenye majuto sana mkuuNdio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.
Thank me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻