Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Nakubaliana na wewe mkuu .....
Nlikuaga natumia that time nlvokua chuo......kiukwel nkawa ad nashangaa uwezo wa ubongo wangu......
 
Asiyewah kutumia awez kukuelewa mkuu
 
Kulipia mamilioni kwenye shule as English Mediums ni kutumia hela au kumpa mmiliki wa shule aitumie na watoto wake
Mi nimesomesha watoto wawili na ninayaona matunda yake na kiukweli kwenye elimu ya watoto ndio kipaumbele chngu cha kwanza. Sio habar ya kiingereza ni exposure bro. Kujua how things work. Ada mi nimelipa ml 20 watoto wawili nilikua napitia moto lakin leo hii yule mkubwa ndio anasimamia shughuli zangu mdogo ndio anamaliza shule huko nje na yeye akija namuunganisha, huwez kuamini naweza kukaa nje ya nchi hata miez mitatu jamaa kila kitu kinaenda kwenye mstari na jamaa anakuja na program mpya nikijiangalia na cjutii aisee. Watoto wasome tena komaa kweli kweli wasome . Ila usimsomeshe mtoto aje kuajiriwa au kuteuliwa muandae mtoto awe tayari katika ulimwengu huu wa software kutoka headway.
 
Master ya udaktari MMED?
Kabla ya master alikua na ajira?
Aliwezaje kusoma akiwa mraibu?

Kama ndio,inawezekana mtu yeyote kuwa mraibu wa madawa ya kulevya,......hasa vijana walio hatarini ni wale wanaojaribh kuishi maisha ya usasa(UFALA),.......kutumia vilevi,kwenda na trend ya nywele,nguo,simu,mapenzi.
Hizi zote ni risk factors za magonjwa ya akilii.
Elimu ya Bure
Alcohol:Ni drug ya abuse inayoongoza kwa kusababisha liver diseases,dementia,cognitive deffects,memory loss
CannabisπŸ˜›sychosis hapa ndio kwake
Heroin:Adult manutrition,motor defects,mind impairment
So ukianza ulimbukeni wa kuiga choose wisely
 
Ile bangi ndio imesaidia kupata u DK mkuu

Yale masomo yaoi bila bangi humalizii ndio maana wengine wanakunywa spirit kwenye somo la ....upasuaji WA bndamu
Hivi ndivo wajinga wengi wanavochangia kushawishi watu kuingia kwenye drugs of abuse......hii sio sawa,
 
Hata Uhuru kenyatta alikuwa anapiga mpepe na yupo madarakan. Kama kichwa chako kimetulia na upo smart, mpepe hauna madhara yoyote. Labda uwe bendera fwata upepo hapo ndo utawehuka.
 
You must be kidding.
 
Hata Uhuru kenyatta alikuwa anapiga mpepe na yupo madarakan. Kama kichwa chako kimetulia na upo smart, mpepe hauna madhara yoyote. Labda uwe bendera fwata upepo hapo ndo utawehuka.
Ni kweli mkuu Asante Sana kwa kujazia mifano ya karibu karibu hapa east Africa.
 
Kuna hii combination ya bhangi+punyeto+spirit alcohol =πŸ’₯
 
Wewe ni mmbabaishaji.
 
We fala sana
 
Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power


Mwanajf, kuhalalishwa bangi Marekani ni katika level ya kimajimbo sio under federal law. Na ni baadhi ya majimbo. Na katika hayo majimbo, jimbo la kwanza ni California mwaka 1996, US ishakuwa Superpower miaka mingi.

Washakuwa superpower ndio wanahalalisha mambo haya. Hiyo ni dalili ya ku decline na sio kukua.

Ni kama wale wanaosema mbona Marekani imehalalisha ushoga na imeendelea, yaani anamaanisha ushoga na "woke culture" ndio imeifikisha Marekani pale, anasahau au hajui mambo hayo Marekani yameanza kuhalalishwa ikiwa tayari ni Superpower. Na yanaiangusha jamii, yanaiangusha familia. Hivyo ni dalili ya ku decline, sio kukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…