Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

Huyo mwanamke atapitia kipindi kigumu lakini mwisho wa siku atatoboa tu. Huyu mwenzetu mbinafsi kupitiliza.

Kitendo Cha kumpachika mgimba na kuona Mke mwingine ilikua ni kosa lajinai, kama alisamehewa, kwanini iwe ngumu kumwelewa mwenzake?

Na hapa ni upande mmoja wa simulizi, ukiwasikiliza wote, utakuta jamaa ana mambo meusi meusi mengi sana, mzinguaji.
[emoji22][emoji22][emoji33]
 
We have to train our brain to be stronger than our emotions.
 
Hajatumia akili kwasababu huyo ni mama wa watoto wake ,vp akikwama anadhan huyo mkewe mwingine atasapoti watoto wake na Jenifer,

nadhan angemshukuru Jenifer kwasababu licha ya kusalitiwa aliendelea na maisha yake kimya ,alichotakiwa kufanya ni kumuelewa kwasababu moyo wake ulijeruhiwa
 
Hajatumia akili kwasababu huyo ni mama wa watoto wake ,vp akikwama anadhan huyo mkewe mwingine atasapoti watoto wake na Jenifer,

nadhan angemshukuru Jenifer kwasababu licha ya kusalitiwa aliendelea na maisha yake kimya ,alichotakiwa kufanya ni kumuelewa kwasababu moyo wake ulijeruhiwa
Sawa kabisa
 
Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake

Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada ya chuo akaajiriwa Halmashauri moja ya mkoa wa Mtwara,

Baada ya mke wake kuanza kazi kule huku jamaa akiendelea na biashara zake katika jiji la mwanza mke wake alianza kubadilika.Anasema siku ya mwanamke kuripoti kazini kwake jamaa alimpeleka na kumtafutia nyumba maeneo ya mjini huku akimuahidi akimaliza miaka 3 atamhamishia katika jiji la mwanza
Hata hivyo jamaa naye alikutana na kisanga cha kumpiga mwanamke mwingine mimba na kwa kuwa ana pesa aliamua kumuoa baada ya kukubaliana na mkewe Jenifer

Kadri siku zilivyozidi kwenda Jenifer alizidi kupunguza mawasiliano na baadae kutopatikana kabisa na kumpelekea mwanaume kumfuatilia huko kazini,hata hivyo majibu aliyopata jamaa kutoka kwa Jenifer ni kuwa wasingeweza kuendelea na ndoa yake kwa sababu alishaoa,bora tu amuache apambane na maisha yake

Baada ya majibu ya aina hiyo jamaa aliamua kumchoma utumishi kwamba mtumishi mwenye jina hili anayefanya kazi sehemu fulani vyeti vyake si halali,anatumia vyeti vya marehemu ambapo baada ya mamlaka kumfuatilia Jenifer na kujirisha na kufukuzwa kazi

Je jamaa amefanya jambo sahihi au amebugi?
Umekosea kumchoma mkeo kwani kumbuka mna mtoto wote
 
Kazingua mno tena ukizingatia wana mtoto. Mwanamke uliezaa nae ukimuachia chochote mwanao atafaidika. Amezingua!
 
Back
Top Bottom