Kashapigwa hiyo M [emoji3]Nilifikiria kwenye game akagundua huwezi, kumbe bado, achana nae, wasichana wapo wengi. M yako inaondoka kiulaini.
tabu yoteee hiyo ya nini sasa khaa, huyu jamaa sijapata kuonaFanya hivi, ukiwa naye tembea kifua mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo.
Sijapigwa niliitoa tu km rafiki yangu
naombeni kiboko nimtandike huyu kilaza
We ni zoba ungekua karibu ningekupiga mabanziKwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu....
JF siku hizi imekuwa ya hovyo sana.Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Wanaume kama wewe ndio naanza kuwasikia leoKwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Naona wew ni DeepPond wa 2 πππππKwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Bora ww umesema mtoa mada zuzu kweli πukiona mwanamke anakupa conditions huyo hakupendiii, akili kichwani mwako
Wasichana wengi wana akili kuliko vijana wa kiume huo ndiyo ukweli. Anakwambia sio kwasababu ya kupungua pekee ni kwasababu anataka kubadilisha tabia yako na mazoezi yake sehemu ya maisha.Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Kwani umeshikiliwa mapumbu endelea kumpenda tuJamani tuheshimiane plz. Nimeomba ushauri hasa matusi ya nini? Ndio nampenda. Tuache ujinga