Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

We fala.si ungetumia huu muda kusoma mapendekezo ya katiba ya warioba ingesaidia sana? Anyway.... Mambo mengine mnataka tu tupigwe ban. Hicho kiswahili cha wapi? Wewe kweli hupafahamu Vingunguti? Kwa mpalange? Manzese, Temeke, Buguruni kwa Mnyamani na Tandale kwa Mtogole?
 
Bill Lugano ktk uboraa wakee, njoo uwekeze kwenye Bandarii, maana DP weldi wanasema wazawa hatuwezi, akati wee upoo, usituangushe puliiiiizzzz

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah.... Na huku upo? Dada unaitwa nani jina halisi?
 
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA MUTOGLE
5. TEAMAKEY
6. MAN THEY SAY
7. KEY MARAY

sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa tunaongea kwa phone. Kuna vitu alioba nimuletee from Italy. So akanipigia phone kunitajia mahitaji yake.

Katika maogezi aliniuliza Dar nafahamu wapi na wapi. Nikamention ninapoishi Oysterbay, Posta, Upanga, Mlimani City, na makazi ya watu wa chini Sinzer, Kijitonyamer, Mwengay.

Akaniambia kuna makazi mupya kabisa ndo akawa anataja. Akasema tanipeleka kwa Mupalangey nitafurahi sana ni muzuri huko sana. Coz aliniuliza kama nimewahi enda na mutu. Nikamwambia sijawahi hata mara moja.

Nimeangalia kwenye Ramani hizo eneo sijawona kabiser. Sijui shida iko nini. Coz it should be there. At least niwone kabler sijaweza enda physically. But anyway i trust the lady nitaenda naye aniwoneshe hiyo eneos.

AM SORRY LEO SECRETARY WAGU HAYUPO NAMI. SO NIMEADIKA MENYEWE KISWAHILI YAGU SI GOOD SANA. HUWA SIKU YOTE YEYE NDO ANA EDIT. SASA NIMEMUWACHA PARIS FRANCE NIKAKIMBIA KUJA ITALY MARA MOYA KUNUNUA FITU YA UYO MEMBER WA JF. MUNI EXCUSE TU LEWO.
Shule zifunvue duuuu maana wauza mkaa na boda ni hatariii
 
Bill Lugano ktk uboraa wakee, njoo uwekeze kwenye Bandarii, maana DP weldi wanasema wazawa hatuwezi, akati wee upoo, usituangushe puliiiiizzzz

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi nilitaka nikuite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafanya nimemkumbuka Kidukulilo alikuwa na misifa km hii
 
Hivi nilitaka nikuite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafanya nimemkumbuka Kidukulilo alikuwa na misifa km hii
Ndo yeye, alibadili ID, baada ya mtu kutumia jina lake twiraaaa, mbna aliweka wazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo yeye, alibadili ID, baada ya mtu kutumia jina lake twiraaaa, mbna aliweka wazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwege huyu anasema mtu alitumia jina lake kwenda kuombea mkopo mkubwa. Wanasheria wake wakamshauri abadilishe jina
 
Muunganiko wa confidence na ujinga ni bomu baya kuliko nyukilia ya iran
 
Back
Top Bottom