Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA MUTOGLE
5. TEAMAKEY
6. MAN THEY SAY
7. KEY MARAY

sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa tunaongea kwa phone. Kuna vitu alioba nimuletee from Italy. So akanipigia phone kunitajia mahitaji yake.

Katika maogezi aliniuliza Dar nafahamu wapi na wapi. Nikamention ninapoishi Oysterbay, Posta, Upanga, Mlimani City, na makazi ya watu wa chini Sinzer, Kijitonyamer, Mwengay.

Akaniambia kuna makazi mupya kabisa ndo akawa anataja. Akasema tanipeleka kwa Mupalangey nitafurahi sana ni muzuri huko sana. Coz aliniuliza kama nimewahi enda na mutu. Nikamwambia sijawahi hata mara moja.

Nimeangalia kwenye Ramani hizo eneo sijawona kabiser. Sijui shida iko nini. Coz it should be there. At least niwone kabler sijaweza enda physically. But anyway i trust the lady nitaenda naye aniwoneshe hiyo eneos.

AM SORRY LEO SECRETARY WAGU HAYUPO NAMI. SO NIMEADIKA MENYEWE KISWAHILI YAGU SI GOOD SANA. HUWA SIKU YOTE YEYE NDO ANA EDIT. SASA NIMEMUWACHA PARIS FRANCE NIKAKIMBIA KUJA ITALY MARA MOYA KUNUNUA FITU YA UYO MEMBER WA JF. MUNI EXCUSE TU LEWO.

Kote anapokupeleka ni Pazuri

Lakini chunga msikalie Kigogo
Pia msikalie kule muhimbili I mean usikalie Upanga kwa nyuma
Kwa Mpalange is very strange place vijana tunachimba samadi u know
 
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA MUTOGLE
5. TEAMAKEY
6. MAN THEY SAY
7. KEY MARAY

sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa tunaongea kwa phone. Kuna vitu alioba nimuletee from Italy. So akanipigia phone kunitajia mahitaji yake.

Katika maogezi aliniuliza Dar nafahamu wapi na wapi. Nikamention ninapoishi Oysterbay, Posta, Upanga, Mlimani City, na makazi ya watu wa chini Sinzer, Kijitonyamer, Mwengay.

Akaniambia kuna makazi mupya kabisa ndo akawa anataja. Akasema tanipeleka kwa Mupalangey nitafurahi sana ni muzuri huko sana. Coz aliniuliza kama nimewahi enda na mutu. Nikamwambia sijawahi hata mara moja.

Nimeangalia kwenye Ramani hizo eneo sijawona kabiser. Sijui shida iko nini. Coz it should be there. At least niwone kabler sijaweza enda physically. But anyway i trust the lady nitaenda naye aniwoneshe hiyo eneos.

AM SORRY LEO SECRETARY WAGU HAYUPO NAMI. SO NIMEADIKA MENYEWE KISWAHILI YAGU SI GOOD SANA. HUWA SIKU YOTE YEYE NDO ANA EDIT. SASA NIMEMUWACHA PARIS FRANCE NIKAKIMBIA KUJA ITALY MARA MOYA KUNUNUA FITU YA UYO MEMBER WA JF. MUNI EXCUSE TU LEWO.

Nimecheka sana walah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Huyu ni mbongo kabc tena wa mbagala [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbee!!! shenzy zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu nimemmiss binamu Warumi [emoji24][emoji24]
Umbea wa mjini alikuwa anatumwagia km wote dah!! RIP Warumi
[emoji24][emoji24][emoji24] usinikumbushee Warumii,
Naumia mnoo, kila nikikumbuka.
 
Binamu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Na lala 1 sijui yuko wapi KLM na story zake nilikuwa nazipenda aiseee [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom