Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Daaaah.... Na huku upo? Dada unaitwa nani jina halisi?Bill Lugano ktk uboraa wakee, njoo uwekeze kwenye Bandarii, maana DP weldi wanasema wazawa hatuwezi, akati wee upoo, usituangushe puliiiiizzzz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidukulilo bin Bill LuganoMan kidukulilo kwenye ubora wake, safi sana kwa kuwa entertainer.
Shule zifunvue duuuu maana wauza mkaa na boda ni hatariiiUyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA MUTOGLE
5. TEAMAKEY
6. MAN THEY SAY
7. KEY MARAY
sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa tunaongea kwa phone. Kuna vitu alioba nimuletee from Italy. So akanipigia phone kunitajia mahitaji yake.
Katika maogezi aliniuliza Dar nafahamu wapi na wapi. Nikamention ninapoishi Oysterbay, Posta, Upanga, Mlimani City, na makazi ya watu wa chini Sinzer, Kijitonyamer, Mwengay.
Akaniambia kuna makazi mupya kabisa ndo akawa anataja. Akasema tanipeleka kwa Mupalangey nitafurahi sana ni muzuri huko sana. Coz aliniuliza kama nimewahi enda na mutu. Nikamwambia sijawahi hata mara moja.
Nimeangalia kwenye Ramani hizo eneo sijawona kabiser. Sijui shida iko nini. Coz it should be there. At least niwone kabler sijaweza enda physically. But anyway i trust the lady nitaenda naye aniwoneshe hiyo eneos.
AM SORRY LEO SECRETARY WAGU HAYUPO NAMI. SO NIMEADIKA MENYEWE KISWAHILI YAGU SI GOOD SANA. HUWA SIKU YOTE YEYE NDO ANA EDIT. SASA NIMEMUWACHA PARIS FRANCE NIKAKIMBIA KUJA ITALY MARA MOYA KUNUNUA FITU YA UYO MEMBER WA JF. MUNI EXCUSE TU LEWO.
Jamaa fala sana, huenda anauza miguu na utumbo wa kuku manzese huku akifanya haya maigizo
Bill Lugano ktk uboraa wakee, njoo uwekeze kwenye Bandarii, maana DP weldi wanasema wazawa hatuwezi, akati wee upoo, usituangushe puliiiiizzzz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa fala sana, huenda anauza miguu na utumbo wa kuku manzese huku akifanya haya maigizo
Secretary ndio huwa anaedit alichoandika. Yeye hajui kiswahili vizuriBill Lugano huwa kuna kipindi anasahau hata kuandika kiswahili kuishia kuandika kama muhindi😂😂😂😂.
Nahisi utajiri wake unabadilisha lugha kulingana na siku husika😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee mbna uko huku, unaitwa nani jina halisi.?Daaaah.... Na huku upo? Dada unaitwa nani jina halisi?
Ndo yeye, alibadili ID, baada ya mtu kutumia jina lake twiraaaa, mbna aliweka wazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nilitaka nikuite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafanya nimemkumbuka Kidukulilo alikuwa na misifa km hii
Bwege huyu anasema mtu alitumia jina lake kwenda kuombea mkopo mkubwa. Wanasheria wake wakamshauri abadilishe jinaNdo yeye, alibadili ID, baada ya mtu kutumia jina lake twiraaaa, mbna aliweka wazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🙌Noma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwege huyu anasema mtu alitumia jina lake kwenda kuombea mkopo mkubwa. Wanasheria wake wakamshauri abadilishe jina