Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

Ndo yeye, alibadili ID, baada ya mtu kutumia jina lake twiraaaa, mbna aliweka wazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbee!!! shenzy zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu nimemmiss binamu Warumi [emoji24][emoji24]
Umbea wa mjini alikuwa anatumwagia km wote dah!! RIP Warumi
 
Hizo sehemu zote umetaja hazipo.
Huko Italy we ni maskini tu Maana wao wenyewe choka Mbaya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]you Made my day
 
Bill Lugano huwa kuna kipindi anasahau hata kuandika kiswahili kuishia kuandika kama muhindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nahisi utajiri wake unabadilisha lugha kulingana na siku husika[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Umetisher kamander [emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Hii nchi[emoji1373]
 
Hii nchi raha sana mwandishi umetulia zako kwa mtogole na kitcno chako miguu juu na kipande cha mhugo na maji ulochanganya na sukari ukihisi unakunywa juisi safi kabisa sema poa andiko lako burudani tosha kabisa

TUNASUBIRI ANDIKO LINGINE USISAHAU KUNI TAG MWAMBA
 
Sema umeamua kutuchekesha any way hapo kwa mpalange ndo point yangu ilipo nakusisitiza tu wakati unaenda usisahau vaseline .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…