Ameniambia tufunge ndoa kabla ya Ramadhani

Ameniambia tufunge ndoa kabla ya Ramadhani

Mpaka hapo huna sifa za kuitwa muislam.

Ndani ya Uislam ni kosa kubwa mbele ya mwenyezi mungu kuishi na mwanamke kinyumba ,yaani kiufupi mtu yeyote anaye jiita muislam hatakiwi kabisa kumuweka mtoto wa watu kinyumba na sisitiza haifai kabisa.

Alafu na mabinti ya siku hizi ni mapumbavu sijui ni kwa nn?
Hivi unaanzaje kuishi kwa mwanaume bila idhini ya wazazi wako kama sio kujishusha thamani na kuonesha dharau iliyo pitiliza dhidi ya wazazi wako walio kulea?

Mwaume atakaye jua thamani yako ni yule aliye kufuata kwa wazazi wako au walezi wako na akakutolea posa na mahali tofauti na hapo atakuwa anakuchukulia kama kahaba na mpumbavu fulani tu sema hatokuambia kwa sababu anakutumia kutimiza mahitaji yake ya mwili akisha kuchoka atakufukuza kama mbwa na hutokuwa na uwezo wa kumfanya chochote.

Mabinti jipeni thamani mmekuwa na akili za kipuuzi kabisa.
 
Daa mkuu mwanamke anaekimbilia ndoa namuogopa Sana watu wanaishi miaka kumi wanafunga ndoa tayari kuna kitu ameshaiona anataka kufunga ndoa huyo muogope sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaogopa ndoa wakati unaishi nae kwà miaka mitatu.
Unasema huna hela. Tofautisha ndoa na sherehe. Ndoa hata maskini anafunga
Ninarudia ndoa sio sherehe
 
Habarini

Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo
Wote sisi ni waislam

Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi yeye anasema inawezekana bila ya ndugu na ndoa inakuwa safi.

Wataalamu, ma sheikh ushauri wenu
Kazi kweli; huyo binti anakutakia KHERI...
Mmeishi miaka 3 hakuna ndoa halafu anakushauri mfunge ndoa unaona MTEGO!!!!! Funga ya RAMADHANI NI NGUZO KATIKA NGUZO 5 ZA UISLAM na ni mara moja tu kwa mwaka...

Msimu wa FUNGA ni kama promotion aliyoitoa MOLA MLEZI kwa WAJA wake. Binti anatamani kurekebisha mlikokosea nyuma. Kama unampenda FUNGENI ndoa. Wazazi [walii] atatoa idhini na mtafungishwa ikubwa yawekeni mezani.

ACHA UJUHA WEWE NDIYO BABA WA FAMILIA
 
Wee jamaa huna akili na hao wakataa ndoa wenzio. Ndoa zenu hata elfu 10 inawezekana ila mtu una laki tatu unaona haiwezekani duh
 
Habarini

Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo
Wote sisi ni waislam

Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi yeye anasema inawezekana bila ya ndugu na ndoa inakuwa safi.

Wataalamu, ma sheikh ushauri wenu
ndoa ya kiislamu haitaki makuu,ni ndoa,sukari kilo tano ya chai na unga wa ngano kilo 10 wa maandazi basi umemaliza nguo vaeni hixohizo mlizonazo
 
ndoa ya kiislamu haitaki makuu,ni ndoa,sukari kilo tano ya chai na unga wa ngano kilo 10 wa maandazi basi umemaliza nguo vaeni hixohizo mlizonazo
Hiyo sio ndoa ya kiislam acha kuongea usiyoyajua, ndoa ya kiislam ni chakula kweli ?? We jamaa vp
 
Achana na mambo ya ndoa, utajuta sana baadae.
 
Huyo dada ana moyo Kuishi na mwanaume bila ndoa na wote ni waislamu aise Bora ifungwe hata usiku mahali tukopeshane kuliko kuish hivo
 
Amekubali kwa mkopo
Taratibu za ki ustaaz nipeni
Huyo dada ana moyo Kuishi na mwanaume bila ndoa na wote ni waislamu aise Bora ifungwe hata usiku mahali tukopeshane kuliko kuish hivo
 
Habarini

Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo
Wote sisi ni waislam

Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi yeye anasema inawezekana bila ya ndugu na ndoa inakuwa safi.

Wataalamu, ma sheikh ushauri wenu
Funga ndoa kijana uishi kwa raha.
 
Back
Top Bottom