Ameniambia tufunge ndoa kabla ya Ramadhani

Amekubali kwa mkopo
Taratibu za ki ustaaz nipeni
we kaka ndoa lazima kuwepo walii wa pande zote mbili na mahari labda kama binti alishaolewa kabla hio iwe ndoa ya pili ruksa unamuoa kwa ruksa yake unaoa juu juu idhini atakupa nani??
 
Yes alishawah kuolewa
 
Back
Top Bottom