Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
-
- #181
Na hili ndowanachosema wazazi,mwamba anajisavia afu kesho anaweza akaamka na kuoa mtu mwingine me ntafanyejeUkwel daima fitina kwangu mwiko...
Hapo mwana anakula bure tu..tena bila kero kwa mgongo wa pete ya uchumba..hahahah..mwamba hatar snaa
AsanteAcha ukuda wewe.
Sasa kama haipo hivyo haimaanishi asiende kufunga ndoa kanisani. Anachotaka ni uhalali wa kutambulika kisheria.
Kwaiyo kama haijaandikwa kwenye biblia so akaushe tu asililie ndoa?
Punguza ujuaji, msaidie ushauri kwa situation aliyofikia sio kuleta vitu nje ya tatizo linalohitaji ufumbuzi.
Tafsiri ya mwanamke kuhitaji hiko cheti,anamapungufu na hajiamini pia inaashilia tayari kuna mgogoro hapo hata before hamujaingia kwenye ndoa,akili kwenye kichwa kwa mwanaume😅😅😅😅😅😅 mwanamke anataka security ya child support na nyumba
Ila akichelewa tutamuibiaSawa mkuu
🙄Nyundo ya utosi. 😂
Nawe ni Binti wa Kichagga???Kama kuna ukweli hivi
Mshazaa hata mtoto mmoja?Ni kweli lakini hata hashtuki ukimwambia haya mambo
Unawez kuta yeye mwenyewe anaishi na mwanamke hataki kufunga naye ndoa,ndo maana anatetea hiyoAcha ukuda wewe.
Sasa kama haipo hivyo haimaanishi asiende kufunga ndoa kanisani. Anachotaka ni uhalali wa kutambulika kisheria.
Kwaiyo kama haijaandikwa kwenye biblia so akaushe tu asililie ndoa?
Punguza ujuaji, msaidie ushauri kwa situation aliyofikia sio kuleta vitu nje ya tatizo linalohitaji ufumbuzi.
Ni sahihi kabisa! Unaweza kuta huyo wa miaka kumi kuna mambo hayamridhishi mwanaume!UKWELI KUHUSU WANAUME
Mwanaume anaweza kuishi na Mwanamke kwa miaka10 akaja kuoa Mwanamke walio dumu kwa miezi 2
Kuna mwenzako ana mipango naeNdounambie ndoa ni kuchumbiwa tu??kwanini asiniharalishe kanisani kama kweli amenichagua
Kwani umesha zaa nae? nakama umezaa nae sahau ndoa kabisaSli la nyumbani naloulizwa ni kama jamaa amekua teyari mpk kulipa mahari kwanini amekua mzito kwenye kumalizia ndoa hata kama kwa sherehe ndogo tu ya watu wa karibu ameamua kukaa kimya
Kama wazaz wako wapo mkoa Mmoja na wewe rudi nyumban ukaishi Kwa wazaz kama ana kupenda ata fata taratifu za ndoa.Ningefanyeje sasa
Ondoka mwambie huwezi kuish pamoja bila ndoa, mwambie kama upo tayar akuoe ili muishi pamojaMaji yameshamwagika mkuu nini unanishauri
Inamaana wwe na mwenzio mnaishi kwa kutegana au kuviziana!? Hamuaminiani hadi muaaminishwe na watu wengine huko kanisani kua kuanzia Sasa hivi nyinyi ni Mke na Mume!? Ebu jaribuni kuishi kwa upendo wa bila mashariti na mengine yatakuja yenyewe naturally!!Na hili ndowanachosema wazazi,mwamba anajisavia afu kesho anaweza akaamka na kuoa mtu mwingine me ntafanyeje
Ukishajifungua tu subiri mwaka uzae wengine na uache kutusumbua.Wewe ni mke wa mtu kamili, tulia kwa mumeo.Niagize kinywaji ganiNimjamzito sasa
Movement zake za kutoka nyumban nakurud, akipigiwa simu usiku yupo huru kupokea mbele yako?Nawezaje kujua kama anandoa teyari???
Zungumza nae, mpe timeframe /deadline yakoNingefanyeje sasa