Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
- #181
Na hili ndowanachosema wazazi,mwamba anajisavia afu kesho anaweza akaamka na kuoa mtu mwingine me ntafanyejeUkwel daima fitina kwangu mwiko...
Hapo mwana anakula bure tu..tena bila kero kwa mgongo wa pete ya uchumba..hahahah..mwamba hatar snaa