Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Ukwel daima fitina kwangu mwiko...

Hapo mwana anakula bure tu..tena bila kero kwa mgongo wa pete ya uchumba..hahahah..mwamba hatar snaa
Na hili ndowanachosema wazazi,mwamba anajisavia afu kesho anaweza akaamka na kuoa mtu mwingine me ntafanyeje
 
Acha ukuda wewe.

Sasa kama haipo hivyo haimaanishi asiende kufunga ndoa kanisani. Anachotaka ni uhalali wa kutambulika kisheria.

Kwaiyo kama haijaandikwa kwenye biblia so akaushe tu asililie ndoa?

Punguza ujuaji, msaidie ushauri kwa situation aliyofikia sio kuleta vitu nje ya tatizo linalohitaji ufumbuzi.
Asante
 
Ni hatari sana sijui nisemajeee...!! Ila wewe kwa ninavyokuona sio kwamba Upo tayari akuoe bila Sherehe Noo kama mtu ameshalipa mahari asingegoma Kabisa ishu hapo ni SHEREHE either Ndugu wa mwanaume au wa mwanamke ndo wanakomalia inakuwa Ngumu hasa Mwanamke nae akiwa anataka iwe kwa
 
Acha ukuda wewe.

Sasa kama haipo hivyo haimaanishi asiende kufunga ndoa kanisani. Anachotaka ni uhalali wa kutambulika kisheria.

Kwaiyo kama haijaandikwa kwenye biblia so akaushe tu asililie ndoa?

Punguza ujuaji, msaidie ushauri kwa situation aliyofikia sio kuleta vitu nje ya tatizo linalohitaji ufumbuzi.
Unawez kuta yeye mwenyewe anaishi na mwanamke hataki kufunga naye ndoa,ndo maana anatetea hiyo
 
Sli la nyumbani naloulizwa ni kama jamaa amekua teyari mpk kulipa mahari kwanini amekua mzito kwenye kumalizia ndoa hata kama kwa sherehe ndogo tu ya watu wa karibu ameamua kukaa kimya
Kwani umesha zaa nae? nakama umezaa nae sahau ndoa kabisa
 
Na hili ndowanachosema wazazi,mwamba anajisavia afu kesho anaweza akaamka na kuoa mtu mwingine me ntafanyeje
Inamaana wwe na mwenzio mnaishi kwa kutegana au kuviziana!? Hamuaminiani hadi muaaminishwe na watu wengine huko kanisani kua kuanzia Sasa hivi nyinyi ni Mke na Mume!? Ebu jaribuni kuishi kwa upendo wa bila mashariti na mengine yatakuja yenyewe naturally!!
 
Ningefanyeje sasa
Zungumza nae, mpe timeframe /deadline yako

Kisha Acha kumkumbushia ndoa

Tafuta pesa tengenezq kesho yako.

Yaani kuwa busy na kesho yako kuliko mchwa .........(sasa sio unawekeza halafu mlivyo na kiherehere unaweka na jina lake)

Hakikisha hubebi mimba.........ukibeba kwisha habari yako!!!!!

Narudia hangaikia kesho yako....


Kama takupenda mtaendelea na stage ya pili

Kama bado anafuta kila mmoja atalala mbele!!!!
 
Labda nikuulize kinachokufanya utake kufunga ndoa ni nini? Maana kama maisha ya mme na mke tayari mnaishi? Je ni kidini zaidi au unatamani sherehe au unataka kisheria uwe mke?
Kama ni kisheria, nendeni bomani wawili tu mmalize....
Kama ni hayo mengine subiri kidogo....
Mwamba anaona aingie gharama wakati mavuno tayari anayapata....

Mara nyingine mwanaume anakuwa na mwanamke lakini hana hakika kama ndio huyo wa maisha anakuwa na kusita sita kwingi kwa hiyo wekeanani malengo ya muda ili umsaidie maamuzi, mpe kama ni miezi au mwaka ajipange.
 
Back
Top Bottom