Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
- #21
Nahamu pia ya shelaTayari unayo ndoa, bado harusi tu, wanahamu na ubwabwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahamu pia ya shelaTayari unayo ndoa, bado harusi tu, wanahamu na ubwabwa.
Kama kuna ukweli hiviKatika harusi 10 kila weekend (Dar) 8 ni za mabinti wa KICHAGA
Sio mbaya anao uwezo wa kufanya kitu kidogoKwani kitu kikubwa nini hapo na wewe unauonaje uchumi wa mwenzako
Ni kweli lakini hata hashtuki ukimwambia haya mamboPole sana kwa changamoto, jitahidi tu kumsisitiza ili muweze kufunga ndoa siyo vizuri kuishi bila ndoa hiyo ni dhambi kwa Mungu.
Hii ndohofu yanguWatu wanatoa mpaka mahari afu anakuzungusha kwenye ndoa kuna mwanangu huyo ndo zake mahari anatoa fresh.View attachment 1923397
Nataka Ndoa ya kanisani kwa mahari tu am insecureHayo ndo maamuzi ya kiume. Shukuru walau magari wazee wamekula Sasa wewe unaitaka nn kingne Mana Kama mume unae. Tunza ndoa yako bidada na mungu awajalie muzae nke na ndume.
MekuelewaKisheria, mmeshakaa miaka mitatu ni zaidi ya mumeo. Wewe unacholilia ni makaratasi na vigelegele vya wanazengo.
Sasa dada, hata kama umechutama kwenye choo cha kiume, je cha kike kipo? Kama hakuna choo cha kike, endelea kushusha mzigo.
Nachomaanisha ni kuwa, sawa huyo mwanaume huenda hana nia kukuoa, je yupo ambaye yupo tayari kukuoa? Kama hakuna, endelea tu kuvuta subira kwa jamaa.
Kutoa mahati ni moja ya hatua kubwa, kuliko kuanza upya. Yaani ukae, umtafute jamaa mwingine mkae miaka mitatu na zaidi akutombe kisawasawa alafu ndiyo aamue kukuchumbia na baadae kukuoa.
Mimi nadhani wamfahamu zaidi jamaa yako. Kama unaiona nia yake basi endelea kuvumilia. Kama vipi, nenda katafute wa kukuoa kama unaamini una thamani bado.
Wala sijajuta mkuu na kweli nataka nicheze kwenye korido za ukumbi sio dhambi atiiMpuuzi sana huyu dada naona anataka kuchezacheza tu pale kwenye korido ya ukumbini. Atulie nadhani anajuta sana kuleta huu uzi hapa.
AsanteHiyo sio ndoa, ila sheria ina presume hivyo. Hata mkiishi miaka mia kama hakuna ndoa inayotambulika, yaani ya kidini, kiserikali mtu hawezi dai talaka maana hamna ndoa hapo
Sasa huoni sio kitu kizuri mkuuKwani akikuoa nini kinaongezeka?
Kashalipa mahari, na wewe tayari unatumikia majukumu ya ndoa, shughuli imeisha hapo.
Subiri siku ya siku usikie kaoa mwanamke mwingine, utupiwe virago.
Sli la nyumbani naloulizwa ni kama jamaa amekua teyari mpk kulipa mahari kwanini amekua mzito kwenye kumalizia ndoa hata kama kwa sherehe ndogo tu ya watu wa karibu ameamua kukaa kimyaKama mnaishi wote haraka ya nini?
Kasema ajipange..kama kwenu Wana haraka wawe tayari kugharamia harusi
Y presumption if he has the way of making it realityTunasimama na hiyo presumption of marrriage.
Unanielewa kweli shoga yangu na me hofu yangu ipo hapa amepewa mpk option ya kufanya sherehe moja nikimaanisha me nisifanye sendoff wala kitchen party lakini still amekua mgumuSio lazima harusi wanaweza funga ndoa bila sherehe. Muhimu kile cheti kuna leo na kesho. Mara aje kusikia huyo kaka ameoa atapeleka ushahidi gani kua yeye ni mke halali?
Ningefanyeje sasaKosa lako kuishinae!!!
Utasubiri sana!!!
Huyo uwezekano wa kukuoa ni mdogo Sogea tuishi haizalishi ndoa bali watoto na wajukuuUnanielewa kweli shoga yangu na me hofu yangu ipo hapa amepewa mpk option ya kufanya sherehe moja nikimaanisha me nisifanye sendoff wala kitchen party lakini still amekua mgumu
Maji yameshamwagika mkuu nini unanishauriHarusi haina gharama, sherehe ndo ina gharama, ambayo sio lazima ufanye sherehe kama huna uwezo.
Ila mimi namuelewa mwamba, wanaume tukiwa tunapata kila ambacho mume anatakiwa apate, tunakua wazito sana kuchukua hatua ya kufunga ndoa. Kwa sababu sisi tunafanya vitu kwa logic. Najiuliza, kwani hapa nikienda kufunga nae ndoa kanisani, kuna kitu kipya kinaongezeka? Hakuna.
Sasa kwa nini niumize kichwa, nipoteze muda na rasilimali kufanya kitu ambacho before and after will be exactly the same?
Hapo ungekua bado hauishi nae, mwamba angelazimishia hata wafunge tu ndoa bila sherehe, kwa sababu baada ya hapo kutakua na big changes kulinganisha before and after.
Kwenu ilifukuzwaNingefanyeje sasa
Ni kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.Sasa huoni sio kitu kizuri mkuu
Sijafukuzwa hataKwenu ilifukuzwa