Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Kisheria, mmeshakaa miaka mitatu ni zaidi ya mumeo. Wewe unacholilia ni makaratasi na vigelegele vya wanazengo.

Sasa dada, hata kama umechutama kwenye choo cha kiume, je cha kike kipo? Kama hakuna choo cha kike, endelea kushusha mzigo.

Nachomaanisha ni kuwa, sawa huyo mwanaume huenda hana nia kukuoa, je yupo ambaye yupo tayari kukuoa? Kama hakuna, endelea tu kuvuta subira kwa jamaa.

Kutoa mahati ni moja ya hatua kubwa, kuliko kuanza upya. Yaani ukae, umtafute jamaa mwingine mkae miaka mitatu na zaidi akutombe kisawasawa alafu ndiyo aamue kukuchumbia na baadae kukuoa.

Mimi nadhani wamfahamu zaidi jamaa yako. Kama unaiona nia yake basi endelea kuvumilia. Kama vipi, nenda katafute wa kukuoa kama unaamini una thamani bado.
Mekuelewa
 
Kwani akikuoa nini kinaongezeka?
Kashalipa mahari, na wewe tayari unatumikia majukumu ya ndoa, shughuli imeisha hapo.
Subiri siku ya siku usikie kaoa mwanamke mwingine, utupiwe virago.
Sasa huoni sio kitu kizuri mkuu
 
Kama mnaishi wote haraka ya nini?
Kasema ajipange..kama kwenu Wana haraka wawe tayari kugharamia harusi
Sli la nyumbani naloulizwa ni kama jamaa amekua teyari mpk kulipa mahari kwanini amekua mzito kwenye kumalizia ndoa hata kama kwa sherehe ndogo tu ya watu wa karibu ameamua kukaa kimya
 
Sio lazima harusi wanaweza funga ndoa bila sherehe. Muhimu kile cheti kuna leo na kesho. Mara aje kusikia huyo kaka ameoa atapeleka ushahidi gani kua yeye ni mke halali?
Unanielewa kweli shoga yangu na me hofu yangu ipo hapa amepewa mpk option ya kufanya sherehe moja nikimaanisha me nisifanye sendoff wala kitchen party lakini still amekua mgumu
 
Harusi haina gharama, sherehe ndo ina gharama, ambayo sio lazima ufanye sherehe kama huna uwezo.
Ila mimi namuelewa mwamba, wanaume tukiwa tunapata kila ambacho mume anatakiwa apate, tunakua wazito sana kuchukua hatua ya kufunga ndoa. Kwa sababu sisi tunafanya vitu kwa logic. Najiuliza, kwani hapa nikienda kufunga nae ndoa kanisani, kuna kitu kipya kinaongezeka? Hakuna.
Sasa kwa nini niumize kichwa, nipoteze muda na rasilimali kufanya kitu ambacho before and after will be exactly the same?
Hapo ungekua bado hauishi nae, mwamba angelazimishia hata wafunge tu ndoa bila sherehe, kwa sababu baada ya hapo kutakua na big changes kulinganisha before and after.
Maji yameshamwagika mkuu nini unanishauri
 
Sasa huoni sio kitu kizuri mkuu
Ni kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.
Ila sasa umeshakosea pakubwa sana. Yaani ulipo sasa ni kuomba Mungu tu hilo la kwenda kuoa mwingine lisitokee, you dont have much to do zaidi ya kusubiri "neema" zake huyo mwanaume awiwe kukuoa.
 
Back
Top Bottom