KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Ila usipate mashaka sana it comes from a genuine and good pointHuwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
Kwani mkifanya mapenzi ni starehe ama maumivu?.Sasa unagegedwa three years hujionei huruma wee mwenyewe.
Mnataka kuendekeza ujinga tuu hapo. Mwanaume serious ndani ya two years anafunga ndoa yanaisha.
Na ndio maaana kuna ndoa za aina zaidi ya mojaUshauri mzuri kabisa...ujinga ni kukaa unagegedwa na mwanaume ambaye sie mume wako.
Hisia zake ndio zimempelekea kwenye quagmire hii aliyojikuta.
Umenena vyema. Ndoa sio matarumbeta wala vyeti, ndoa ni commitment. Ndio maana kwa mujibu wa sheria "Ndoa ni muunganiko wa hiyari kati ya mwanaume na mwanamke wenye lengo la kuishi kama mume na mke". Msingi wa ndoa ni makubaliano ya hiyari sio vyeti. Dada atulie alee mimba na familia yake. Nawajua watu wengi sana wanaishi hivi na wana watoto wanaokaribia kuolewaWangapi walitanguliza vyeti wakaachana?
Hawa wana miaka 3
issue ni kama jamaa ashaoa before
Na ht km ashaoa so wht?
anarudi huko ama?
Kama harudi basi atengue ajulikane ni bachelor ili mfunge rasmi yenu
kama hajaoa ya mkuu wa wilaya inatosha
issue labda dada anataka sherehe kubwa.,
sawa kama kwako cheti ni matokeao tuu basi fresh. nachojua ni hamna baba yoyote mwenye nia njema na mtoto wake wakike atakubali eti mtoto wake awe ana gegedwa tuu na njemba bila ndoa ya aina yoyote ile inayotambulika.Na ndio maaana kuna ndoa za aina zaidi ya moja
Tatizo mmekariri
Afterall hakuna mume anae kiogopa cheti
Mnaweza kuachana vilevile
lengo liwe kuwa na mwenza mnapendana ndani cheti ni matokeo tu
nadhani ingekuwa wanawake hawaumii basi msamiati wa heartbroken usingekuwepo.Kwani mkifanya mapenzi ni starehe ama maumivu?.
what are you assuming ?
Mwanamke anaumia?
Mwanamke hataki kufanya ama?.
maisha ni zaidi ya cheti,cheti formality tu
Kikubwa mnaishi vipi wawili ndani?.mapenzi yapo?
Sheria ya nchi gani umeitumia hapo juu Mkuu?, watu huwa wanadanganyana ishu za mkiishi miaka miwili sijui miezi sita ni mke na mume, [emoji23][emoji23] Wakuu mahakamani sio simple hivyo kufanya iyo dhana ifanye kazi.Kisheria, mmeshakaa miaka mitatu ni zaidi ya mumeo. Wewe unacholilia ni makaratasi na vigelegele vya wanazengo.
Sasa dada, hata kama umechutama kwenye choo cha kiume, je cha kike kipo? Kama hakuna choo cha kike, endelea kushusha mzigo.
Nachomaanisha ni kuwa, sawa huyo mwanaume huenda hana nia kukuoa, je yupo ambaye yupo tayari kukuoa? Kama hakuna, endelea tu kuvuta subira kwa jamaa.
Kutoa mahati ni moja ya hatua kubwa, kuliko kuanza upya. Yaani ukae, umtafute jamaa mwingine mkae miaka mitatu na zaidi akutombe kisawasawa alafu ndiyo aamue kukuchumbia na baadae kukuoa.
Mimi nadhani wamfahamu zaidi jamaa yako. Kama unaiona nia yake basi endelea kuvumilia. Kama vipi, nenda katafute wa kukuoa kama unaamini una thamani bado.
True story, watu wanadanganyana sana hii ishuHiyo sio ndoa, ila sheria ina presume hivyo. Hata mkiishi miaka mia kama hakuna ndoa inayotambulika, yaani ya kidini, kiserikali mtu hawezi dai talaka maana hamna ndoa hapo
Hakuna ndoa bila cheti Mkuu, ndoa yoyote Tz lazima iwe na cheti cha ndoa, sheria ndio inaelekeza hivyo. Iwe ya kidini, kiserikali au ya kimila lazima isajiliwe na cheti kitolewe hicho ndio ushahidi wa ndoa.Umenena vyema. Ndoa sio matarumbeta wala vyeti, ndoa ni commitment. Ndio maana kwa mujibu wa sheria "Ndoa ni muunganiko wa hiyari kati ya mwanaume na mwanamke wenye lengo la kuishi kama mume na mke". Msingi wa ndoa ni makubaliano ya hiyari sio vyeti. Dada atulie alee mimba na familia yake. Nawajua watu wengi sana wanaishi hivi na wana watoto wanaokaribia kuolewa
Mwenzako anamaanisha harusi hapo!Kama mnaishi pamoja kwa miaka 3 hiyo tayari ni ndoa.
Ndo za kimila watu wanapewa vyeti vya ndoa?Hakuna ndoa bila cheti Mkuu, ndoa yoyote Tz lazima iwe na cheti cha ndoa, sheria ndio inaelekeza hivyo. Iwe ya kidini, kiserikali au ya kimila lazima isajiliwe na cheti kitolewe hicho ndio ushahidi wa ndoa.
Even men get heartbreaksnadhani ingekuwa wanawake hawaumii basi msamiati wa heartbroken usingekuwepo.
Laiti kama cheti kingekua guarantee ya ndoa hamna ambae angekataasawa kama kwako cheti ni matokeao tuu basi fresh. nachojua ni hamna baba yoyote mwenye nia njema na mtoto wake wakike atakubali eti mtoto wake awe ana gegedwa tuu na njemba bila ndoa ya aina yoyote ile inayotambulika.
Mtoa mada kachoka kuzini now anataka ndoa ambayo hata akifanya ibada moyo wake unakuwa na amani kama mtu ameweza kuishi nae miaka yote hiyo kiapo cha sekunde kina tatizo gani?Huwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
Yaani kuna watu wa ajabu sana kumbe sogea tuishi watu wanaichukulia ndoaSasa unagegedwa three years hujionei huruma wee mwenyewe.
Mnataka kuendekeza ujinga tuu hapo. Mwanaume serious ndani ya two years anafunga ndoa yanaisha.