KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Ila usipate mashaka sana it comes from a genuine and good pointHuwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
Wanawake ndio wanaoumia ndoa zikienda kombo,mume akifariki ama mke ukitelekezwa
kama kweli unampenda binti basi oa hata ya mkuu wa wilaya kama hujajiandaa
Afterall 3yrs hujaridhika nae tu?.