Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Huwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
Ila usipate mashaka sana it comes from a genuine and good point

Wanawake ndio wanaoumia ndoa zikienda kombo,mume akifariki ama mke ukitelekezwa

kama kweli unampenda binti basi oa hata ya mkuu wa wilaya kama hujajiandaa
Afterall 3yrs hujaridhika nae tu?.
 
Sasa unagegedwa three years hujionei huruma wee mwenyewe.
Mnataka kuendekeza ujinga tuu hapo. Mwanaume serious ndani ya two years anafunga ndoa yanaisha.
Kwani mkifanya mapenzi ni starehe ama maumivu?.

what are you assuming ?
Mwanamke anaumia?
Mwanamke hataki kufanya ama?.

maisha ni zaidi ya cheti,cheti formality tu
Kikubwa mnaishi vipi wawili ndani?.mapenzi yapo?
 
Ushauri mzuri kabisa...ujinga ni kukaa unagegedwa na mwanaume ambaye sie mume wako.
Hisia zake ndio zimempelekea kwenye quagmire hii aliyojikuta.
Na ndio maaana kuna ndoa za aina zaidi ya moja
Tatizo mmekariri
Afterall hakuna mume anae kiogopa cheti
Mnaweza kuachana vilevile

lengo liwe kuwa na mwenza mnapendana ndani cheti ni matokeo tu
 
Wangapi walitanguliza vyeti wakaachana?
Hawa wana miaka 3

issue ni kama jamaa ashaoa before
Na ht km ashaoa so wht?

anarudi huko ama?
Kama harudi basi atengue ajulikane ni bachelor ili mfunge rasmi yenu

kama hajaoa ya mkuu wa wilaya inatosha

issue labda dada anataka sherehe kubwa.,
 
Anachukulia sheria, " ukikaa na mwanamke ndani ya nyumba zaidi ya miaka 2 ni mke wako. Ukibahatika kupata mtoto, ni ndoa kamili, ndio maana kuna tendo la ndoa. Mengine ni cheti tu cha kuonyeshwa mmeona .
 
Wangapi walitanguliza vyeti wakaachana?
Hawa wana miaka 3

issue ni kama jamaa ashaoa before
Na ht km ashaoa so wht?

anarudi huko ama?
Kama harudi basi atengue ajulikane ni bachelor ili mfunge rasmi yenu

kama hajaoa ya mkuu wa wilaya inatosha

issue labda dada anataka sherehe kubwa.,
Umenena vyema. Ndoa sio matarumbeta wala vyeti, ndoa ni commitment. Ndio maana kwa mujibu wa sheria "Ndoa ni muunganiko wa hiyari kati ya mwanaume na mwanamke wenye lengo la kuishi kama mume na mke". Msingi wa ndoa ni makubaliano ya hiyari sio vyeti. Dada atulie alee mimba na familia yake. Nawajua watu wengi sana wanaishi hivi na wana watoto wanaokaribia kuolewa
 
Na ndio maaana kuna ndoa za aina zaidi ya moja
Tatizo mmekariri
Afterall hakuna mume anae kiogopa cheti
Mnaweza kuachana vilevile

lengo liwe kuwa na mwenza mnapendana ndani cheti ni matokeo tu
sawa kama kwako cheti ni matokeao tuu basi fresh. nachojua ni hamna baba yoyote mwenye nia njema na mtoto wake wakike atakubali eti mtoto wake awe ana gegedwa tuu na njemba bila ndoa ya aina yoyote ile inayotambulika.
 
Kwani mkifanya mapenzi ni starehe ama maumivu?.

what are you assuming ?
Mwanamke anaumia?
Mwanamke hataki kufanya ama?.

maisha ni zaidi ya cheti,cheti formality tu
Kikubwa mnaishi vipi wawili ndani?.mapenzi yapo?
nadhani ingekuwa wanawake hawaumii basi msamiati wa heartbroken usingekuwepo.
 
Kisheria, mmeshakaa miaka mitatu ni zaidi ya mumeo. Wewe unacholilia ni makaratasi na vigelegele vya wanazengo.

Sasa dada, hata kama umechutama kwenye choo cha kiume, je cha kike kipo? Kama hakuna choo cha kike, endelea kushusha mzigo.

Nachomaanisha ni kuwa, sawa huyo mwanaume huenda hana nia kukuoa, je yupo ambaye yupo tayari kukuoa? Kama hakuna, endelea tu kuvuta subira kwa jamaa.

Kutoa mahati ni moja ya hatua kubwa, kuliko kuanza upya. Yaani ukae, umtafute jamaa mwingine mkae miaka mitatu na zaidi akutombe kisawasawa alafu ndiyo aamue kukuchumbia na baadae kukuoa.

Mimi nadhani wamfahamu zaidi jamaa yako. Kama unaiona nia yake basi endelea kuvumilia. Kama vipi, nenda katafute wa kukuoa kama unaamini una thamani bado.
Sheria ya nchi gani umeitumia hapo juu Mkuu?, watu huwa wanadanganyana ishu za mkiishi miaka miwili sijui miezi sita ni mke na mume, [emoji23][emoji23] Wakuu mahakamani sio simple hivyo kufanya iyo dhana ifanye kazi.

Huyu akibahatika sana anaweza kumshitaki Mwamba kwa kumpotezea muda na kuvunja ahadi ya ndoa ambayo imefanya waoaji (kama walikuwepo) waone kama kashawekwa ndani.

Ndoa ni 100% 'makaratasi' bila karatasi ni blah blah tu
 
Kuna mambo ukiyafikiria vizuri, utagundua huyu dada kuiwaza nda yupo sahihi kabisa.
Kuna mambo yakitokea baadae au hata sasa yataleta milolongo isiyo na maana kabisa.

Kama mwanadamu kuna kuendelea kiuchumi na kimaisha sasa kuruhusu maendeleo yako yakukute haupo sehemu salama na sahihi ni hatari sana. Dada upo sahihi dai ndoa ila kwa akili sana

Fikiria ndio mmejenga nyumba mna biashara na mali nyingine na maendeleo pia alafu ghafla unasikia Mwamba anaoa, unajua hautaweza mzuia kabisa asioe tofauti na ukiwa tayari umeolewa.

Aise kuna upande nasimama na wewe dada, hasa ukiyawaza maisha kwenye uhalisia wake, kuna vifo, maradhi, maendeleo na kadhalika.

Kila la kheri ila usilazimishe ndoa.
 
Umenena vyema. Ndoa sio matarumbeta wala vyeti, ndoa ni commitment. Ndio maana kwa mujibu wa sheria "Ndoa ni muunganiko wa hiyari kati ya mwanaume na mwanamke wenye lengo la kuishi kama mume na mke". Msingi wa ndoa ni makubaliano ya hiyari sio vyeti. Dada atulie alee mimba na familia yake. Nawajua watu wengi sana wanaishi hivi na wana watoto wanaokaribia kuolewa
Hakuna ndoa bila cheti Mkuu, ndoa yoyote Tz lazima iwe na cheti cha ndoa, sheria ndio inaelekeza hivyo. Iwe ya kidini, kiserikali au ya kimila lazima isajiliwe na cheti kitolewe hicho ndio ushahidi wa ndoa.
 
sawa kama kwako cheti ni matokeao tuu basi fresh. nachojua ni hamna baba yoyote mwenye nia njema na mtoto wake wakike atakubali eti mtoto wake awe ana gegedwa tuu na njemba bila ndoa ya aina yoyote ile inayotambulika.
Laiti kama cheti kingekua guarantee ya ndoa hamna ambae angekataa

ila sote tunajua maisha ndani haijalishi mna cheti au la
Na kuachana ni asubuhi tu

asije haribu maisha mazuri waliyonayo ndani kisa kudai cheti
 
Huwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
Mtoa mada kachoka kuzini now anataka ndoa ambayo hata akifanya ibada moyo wake unakuwa na amani kama mtu ameweza kuishi nae miaka yote hiyo kiapo cha sekunde kina tatizo gani?
 
Back
Top Bottom