Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Umepanick sana 😂😂😂Polesana ndo maisha
Eti eeeeh.... Maisha ya kudanga hapana....hayo siwezi kuruhusu udhani ndo maisha.badili tabia.mwishowe mtasema watu wabaya kumbe mnajidhalilisha kwa njaa zenu. Watoto 4 kila mtoto na baba yake....kwa nini nione kitu cha kawaida? Lazima nikasirike maana unawatumia watoto vibaya ....😡😡😡😡 Kama kitega uchumi...
 
Mke unae. Halafu ukiombwa pesa na mdada mdangaji unayevizia papuchi yake unamshsngaa.
Upo serious kweli mkuu?
Kama anauza hiyo inajulikana ni business wala haina shida. Ila siyo watu mmefahamiana tu unaanza kuomba vipesa vidogo vidogo. Mwanamke ambaye hawezi jihudumia 10,000 huyo mimi hanifai ...
 
Mwanamke wa kuomba 10,000 huyo hafai. K yake itakuwa imeshachakaa sana... Mwanamke mdangaji standard huanzia angalau 100,000 plus. Wa 10,000 hana tofauti na wale wa Buguruni Rozana....😁
 
Kitu usicho kijua kuhusu dada zetu ni wana matumizi mengi sana
Pesa zao wenyewe haziwatoshi
Anaweza sema anafanya kazi lakini mshahara ni mdogo sana. Kwahyo anaishi kwa kudandia dandia
 
🤣🤣🤣povu
 
Safi sana nwamba huo ndo uanaume unatoa msimamo mapema siyo kuombaomba hovyo. Tusaidiane kwenye shida siyo unakuwa chuma ulete.
 
Mwingine huyu hapa yaani muda nasoma huu uzi nimepigwa tena sio kwa kusema naomba bali kasema nimtumie like aliiwekeza.
Hata salamu hamna, Chaggas ni nouma.
View attachment 2333166
Mnyime tu kaandika f5 ndo nn anadharau sana🤣🤣🤣
Mm nilishakataa kudhalilika aise nimeanza kujishughulisha nikiwa mdogo mno had nafikia Miaka 22 namiliki ofis yangu mwenyew mwanaume wangu anawajibika ila sio lazima kaamua tu wanawake tutafute Hela 😂 Sio Kwa kutusimanga huku
 
Wenziwe umeshawaambia?
 
Ofisi ipi hiyo 🤣wakati unaamini katika kudanga... Humu humpati mtu kwa mbinu hii... Au ndo ofisi ya kuzaliwa nayo. Mimi kwa kweli mwanamke anayedanga simwezi. Ndo maana sijawahi nunua K hata siku moja. Yaani utamu tupate wote then nilipie? Kumsaidia mtu nitamsaidia ila si kwa kununua K. So mtu awe na shida aombe pesa ya maana anayeomba 10,000 na anafanya kazi namdharau sana... Fanyeni Kazi msitumie K kama kitega uchumi. Kwa baadhi ya wanaume wana misimamo hawanunui....
 
Huyu mtoa post ni bwege sana.

Mimi mwanamke akiniomba hela hata anikere vipi kwenye eneo la kula nauli wala simtangazi. Napiga kimya nakula.kobisi zangu maana mwanamke ni kumhudumia.

Mengine ni namna au gia unayoingilia.

Kuna jamaa aliwahi kumpiga saundi kahaba, dem akalipia chumba na wakapiga show wakaachana kimtindo. Nikajifunza neno kubwa kwba siyo kila unapoomnwa hela unune bali jieleze unaweza kuokota tende chini ya mpera
 
😂😂😂kama unashida ya elfukumi wenzio huko juu wamesema wakutumie kuniandikia mabarua ya nn Sasa kudanga nako ni kazi za watu
Kwani umeshahesabiwa?
 
We bwege halafu kilaza. Sisi wengine hatuhongi kifala. Mwanamke wa kuomba omba 10,000 na anafanya kazi ni hopeless hata kumla ni kujiunganisha na upumbavu wake. Nyie ndo mkutane mnafaana. Njaa zitawaua.
 
😂😂😂kama unashida ya elfukumi wenzio huko juu wamesema wakutumie kuniandikia mabarua ya nn Sasa kudanga nako ni kazi za watu
Kwani umeshahesabiwa?
Wewe ndo utumiwe unazalishwa kama Panya....umri huu tayari vitoto 4 🤣 watakugegedua uzae kama nguruwe ukija shtuka wanakimbia....utabaki humu kujitangazia biashara. Mi naharibu tu....🤣
 
We bwege halafu kilaza. Sisi wengine hatuhongi kifala. Mwanamke wa kuomba omba 10,000 na anafanya kazi ni hopeless hata kumla ni kujiunganisha na upumbavu wake. Nyie ndo mkutane mnafaana. Njaa zitawaua.
Toa connection basi maana lomolomo nyiiingi kama karani wa sensa.

Leta namba tumtumie hela ya kula basi
 
Wewe ndo utumiwe unazalishwa kama Panya....umri huu tayari vitoto 4 🤣 watakugegedua uzae kama nguruwe ukija shtuka wanakimbia....utabaki humu kujitangazia biashara. Mi naharibu tu....🤣
Ninanmpango wa kuongeza wa tano ujue 😂 usinitishe
 
😂😂😂kama unashida ya elfukumi wenzio huko juu wamesema wakutumie kuniandikia mabarua ya nn Sasa kudanga nako ni kazi za watu
Kwani umeshahesabiwa?
Mi napenda ligi kama hii inasukuma tu uzi...🤣 Hao watoto wana baba wangapi? Humu usidanganyike watu watakukanyaga halafu wasikupe hata thumni....🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…