Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #261
Eti eeeeh.... Maisha ya kudanga hapana....hayo siwezi kuruhusu udhani ndo maisha.badili tabia.mwishowe mtasema watu wabaya kumbe mnajidhalilisha kwa njaa zenu. Watoto 4 kila mtoto na baba yake....kwa nini nione kitu cha kawaida? Lazima nikasirike maana unawatumia watoto vibaya ....😡😡😡😡 Kama kitega uchumi...Umepanick sana 😂😂😂Polesana ndo maisha