Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #281
Si ndo kitega uchumi.....🤣🤣🤣 Kuna dada mmoja wamefika 6 mashine nayo imechoka baba za watoto wamebadili lines.... Sasa anazunguka tu kama mbwa koko mtaani. Mwenye 10,000 anakula...mwenye 20,000 anakula...basi ili mradi tu sandakalawe....🤣Ninanmpango wa kuongeza wa tano ujue 😂 usinitishe
Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.Utaliwa naniii shauri yako penda kutangaza njaa.... 🤣
KUPANGA NI KUCHAGUA.... walio smart huzaa mmoja au wawili na wanaume smart pia. Lakini wengije .. 🤣 kama Mbwa.......Ninanmpango wa kuongeza wa tano ujue 😂 usinitishe
Na ndipo alipokosea....mwanamke wa kuomba 10 elfu ni kilaza. Na huku anafanya kazi... Wa hovyo sana. .. nimemwambia nitamwanika tena... Ila hii mbinu huwa kweli inakusaidia? Au ndo unapata akina mwajuma ndala ndefu?🤣Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.
Mtu kakuomba senti kiasi kidogo unapiga mayowe ya KANTANGAZE.🤣🤣🤣
Kumbe bado unamtaka na huna hela. Lete namba hiyo
Namba hatoi anakazi ya kulalamika 🤣🤣🤣Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.
Mtu kakuomba senti kiasi kidogo unapiga mayowe ya KANTANGAZE.🤣🤣🤣
Kumbe bado unamtaka na huna hela. Lete namba hiyo
Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.Na ndipo alipokosea....mwanamke wa kuomba 10 elfu ni kilaza. Na huku anafanya kazi... Wa hovyo sana. .. nimemwambia nitamwanika tena... Ila hii mbinu huwa kweli inakusaidia? Au ndo unapata akina mwajuma ndala ndefu?🤣
Kijana kabalehe ya kwanza inamsumbua.Namba hatoi anakazi ya kulalamika 🤣🤣🤣
Mia Hamsa?na ikaja home ikatoka???Sina huo utanzania aisee.Pisi kazi mbovu mgerasi. Kunae moko nilikutana nayo kwenye ferry nika download namba ikakubali nakuja kutana nayo kuitoa lunch ya maana ikakata kama laki siku naiita ghetto ikaja nikakata tena kana 50 nataka kula mzigo inagoma nikaiambia haina kelele.
Saivi imebaki tu kunipigia na ku text desperately wala sina time nayo naona ilitaka nianze mambobya kuch kuch hontae bombay india.
We ndio faraPisi kazi mbovu mgerasi. Kunae moko nilikutana nayo kwenye ferry nika download namba ikakubali nakuja kutana nayo kuitoa lunch ya maana ikakata kama laki siku naiita ghetto ikaja nikakata tena kana 50 nataka kula mzigo inagoma nikaiambia haina kelele.
Saivi imebaki tu kunipigia na ku text desperately wala sina time nayo naona ilitaka nianze mambobya kuch kuch hontae bombay india.
Mkuu, kuhonga ovyo ndio ushamba. Ni ushamba kutoa pesa bila mahesabu, kwanza unaingiza shilingi ngapi ili uwe mtu wa kutoatoa ovyo? Kama una ntu wako endelea kusaidiana nae lakini mtu mlikutana jana leo anaomba "hela ya kula", huyo hafai hata kidogo. Unakaribisha masikini na umasikini katika maisha yako. Ndio maana huoni mtu wenye uwezo wake akadate na watu wa "hovyo ", wanaoomba buku buku ili wakidhi haja zao.Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.
Balehe ya pili utakuwa umeelewa hawa jinsia ya ke wanahitaji sana kuwaelewa na kwenda nao kwa akili
Hakika hakika.Mkuu, kuhonga ovyo ndio ushamba. Ni ushamba kutoa pesa bila mahesabu, kwanza unaingiza shilingi ngapi ili uwe mtu wa kutoatoa ovyo? Kama una ntu wako endelea kusaidiana nae lakini mtu mlikutana jana leo anaomba "hela ya kula", huyo hafai hata kidogo. Unakaribisha masikini na umasikini katika maisha yako. Ndio maana huoni mtu wenye uwezo wake akadate na watu wa "hovyo ", wanaoomba buku buku ili wakidhi haja zao.
Kuhonga ovyo ni ushamba!!
Sophia kumbe we mtata hiviNamba hatoi anakazi ya kulalamika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Mm mpole sana🚶Sophia kumbe we mtata hivi
Kale kapicha kako nikikatazama unaonekana kapole pamoja na kuziba na emoji
Yes ninacho nilikasave kwa matumizi yangu binafsi siku nikienda kwa babu kule kwetu itilima ligangabilili
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
Lazima mbinu za ziada zitumike[emoji23][emoji23][emoji23]Mm mpole sana[emoji124]
Ukiniendea Kwa Babu Yako nitazid kuwa lofa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio gazeti tu wengine wanatamani kukurushia ngumi sema hawakuoni tu😂😂😂
Utajua mwenyewe bwana we! We tafuta pesa ili tuziombe🤣🤣🤣🤣Mwanamke wa kuomba 10,000 huyo hafai. K yake itakuwa imeshachakaa sana... Mwanamke mdangaji standard huanzia angalau 100,000 plus. Wa 10,000 hana tofauti na wale wa Buguruni Rozana....😁
Well said nime-screenshot then nimeweka What'sApp status.Vijana msidhani kutoa pesa ndio kipimo cha upendo, tena kutoa pesa kwa mtu ovyo bila bajeti. Mtu anasema hilo teni kitu gani wakati hana uwezo wa kuzalisha hilo teni.
Lakini pia kama tutajifunza kuishi kwa bajeti hizi mambo hazitatusumbua. Tatizo letu tunaishi tu ili mradi, hatuangalii maisha ya kesho. Hawa hawa wadada wakiona umepigika wanakukimbia.
Usitumie pesa zako kizembe, bila mipango, usipeleke pesa zako sehemu ambayo haina faida kwako. Kesho yako inategemea sana maamuzi yako ya leo, unaweza kuona 10k ndogo kama wadada wengi wanavyoenda kujibrand, ila hiyo 10k ukijumlisha na nyingine utaona faida yake baadae.