Nmempenda Huyo mdada
Ameonyesha Ni mwelewa Sana
Amekujibu very short&clear[emoji4]
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
LegendAngemwambia ahamie nyumban kwake waishi wote asisumbuliwe na mambo ya kodi
Kuna mwanamke huwa ananitafta anapokua anashida zake, na Mimi always najua kula na kipofu.
Na sheria ya mwituni sikuzote inajulikana[emoji116]
"Ukitaka kula, ukubali nawewe kuliwa kidg"
Jion ya leo nategemea tukutane tukamilishe muamalaView attachment 2332332View attachment 2332334View attachment 2332335View attachment 2332336
Ha ha yan ni hatari...sijui wamekuwaje siku hiziZamani tulikuwa tunafurahi kupata text toka kwa mwanamke. Siku hizi ukiona text toka kwa demu basi unakksa raha kabisa
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Duh! Ila kuna wanaume makauzu jamani. Natamani wanaume wote tuwe hivyo adabu itakuwepo... Sema inategemeana na aina ya mwanamke. Kuna mwanamke akikuomba pesa unashukuru Mungu kwanza huamini kama ni yeye. Ila kuna wale tunaofanana nao ndo wanakutanaga na majibu ya hivyo [emoji2][emoji3][emoji2] Dunia haiko fair kabisa hiiHuyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Utamu watasikia woteMtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie kuna wanawake wanateseka sana
Jmn si umpe tu bila kumla…
Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Wee twende nao hivyo wanavyotaka cha msingi na sie utelezi tupate basi.Ha ha yan ni hatari...sijui wamekuwaje siku hizi
Angejaribu kufanya hivyo just paap paap uone jinsi angetukanwa[emoji23][emoji23]. Usipoteze muda ukishaona mwanamke ni masikini waroho kiasi hicho kisa tu unataka ulale naye, utakufa masikini.Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Hilo ndo jambo la msingi [emoji16][emoji16]Wee twende nao hivyo wanavyotaka cha msingi na sie utelezi tupate basi.
Sahii kabisa mzee wa mbususu[emoji4]Wee twende nao hivyo wanavyotaka cha msingi na sie utelezi tupate basi.
Uache kuendeleza maisha yako, ucheze na saikilojia ya mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23]. We oa wanne tu ila waache vijana waishi kwaamani yao, wanawake wapo tu, hata ulale nao 100 bado uratamani wapya wengine. Saikilojia my foot.Huna subira na hujui mapenzi wewe.Na hujui saikolojia ya wanawake.Pesa umeiweka mbele sana. Ukitaka kuwajua zaidi niulize mimi mwenye wake 4.sio wanawake wa kutoka nao out 4