Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Sio kwamba nakupinga mtoa mada,

Bali vitu Vingine Wanaume tujiongeze,
Tuache kujitia aibu ndogo ndogo Kama hizi
Kizinga Cha elfu 10 sio Cha Kuja kuanzishia Uzi,Tena kwa HEADING ya kutishia usalama wa nguvu zako za kiume.

Nikuulize mtoa mada,
Kwani huyo mdada Lengo lako lilikua kumuoa au utelezi wake?

Wanaume tujifunze kula na vipofu,
Kama Lengo lako Ni utelezi tu, Sioni tatizo akikupiga kizinga kidg kugharamia uchafuzi (usafi wa mazingira)

Tena heri uyo wako,
kaomba Ela ndogo ambayo naamini Kama uko serious unataka utelezi wake sio swala la kujiuliza Mara mbili.
 
Kuna mwanamke huwa ananitafta anapokua anashida zake, na Mimi always najua kula na kipofu.

Na sheria ya mwituni sikuzote inajulikana[emoji116]
"Ukitaka kula, ukubali nawewe kuliwa kidg"

Jion ya leo nategemea tukutane tukamilishe muamala wa magendo,maana kiuhalisia najua anajiuza kwa njia isiyo rasmi
Screenshot_20220823-140035.jpg
Screenshot_20220823-140045.jpg
Screenshot_20220823-140053.jpg
Screenshot_20220823-140102.jpg
 
Mbususu yake ameshakupa?
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
 
Kuna mwanamke huwa ananitafta anapokua anashida zake, na Mimi always najua kula na kipofu.

Na sheria ya mwituni sikuzote inajulikana[emoji116]
"Ukitaka kula, ukubali nawewe kuliwa kidg"

Jion ya leo nategemea tukutane tukamilishe muamalaView attachment 2332332View attachment 2332334View attachment 2332335View attachment 2332336

Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
 
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Duh! Ila kuna wanaume makauzu jamani. Natamani wanaume wote tuwe hivyo adabu itakuwepo... Sema inategemeana na aina ya mwanamke. Kuna mwanamke akikuomba pesa unashukuru Mungu kwanza huamini kama ni yeye. Ila kuna wale tunaofanana nao ndo wanakutanaga na majibu ya hivyo [emoji2][emoji3][emoji2] Dunia haiko fair kabisa hii
 
Kwake ulitaka urafiki au ngono. Hapo naona ni tofauti tu ya kutafsiriani ye alidhani unataka
 
Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Angejaribu kufanya hivyo just paap paap uone jinsi angetukanwa[emoji23][emoji23]. Usipoteze muda ukishaona mwanamke ni masikini waroho kiasi hicho kisa tu unataka ulale naye, utakufa masikini.
 
Ni sawa mwanaume kuanzisha uzi sababu umeombwa elfu kumi hata wewe umeonesha kuna mahali unamapungufu
 
Huna subira na hujui mapenzi wewe.Na hujui saikolojia ya wanawake.Pesa umeiweka mbele sana. Ukitaka kuwajua zaidi niulize mimi mwenye wake 4.sio wanawake wa kutoka nao out 4
Uache kuendeleza maisha yako, ucheze na saikilojia ya mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23]. We oa wanne tu ila waache vijana waishi kwaamani yao, wanawake wapo tu, hata ulale nao 100 bado uratamani wapya wengine. Saikilojia my foot.
 
Back
Top Bottom