DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sio kwamba nakupinga mtoa mada,
Bali vitu Vingine Wanaume tujiongeze,
Tuache kujitia aibu ndogo ndogo Kama hizi
Kizinga Cha elfu 10 sio Cha Kuja kuanzishia Uzi,Tena kwa HEADING ya kutishia usalama wa nguvu zako za kiume.
Nikuulize mtoa mada,
Kwani huyo mdada Lengo lako lilikua kumuoa au utelezi wake?
Wanaume tujifunze kula na vipofu,
Kama Lengo lako Ni utelezi tu, Sioni tatizo akikupiga kizinga kidg kugharamia uchafuzi (usafi wa mazingira)
Tena heri uyo wako,
kaomba Ela ndogo ambayo naamini Kama uko serious unataka utelezi wake sio swala la kujiuliza Mara mbili.