Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Acha kujieleza sana mkuu.
 
Efu kumi kitu gani jamaa!??..ungemuambia kistaarabu tu angekuelewa..yan ten tu mze unatokwa povu kiasi hicho??..
 
Jamaa ni mshamba..
 
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Kwanza anavyoandika tu utajua ni wa namna gani loh. Shida sana sisi wanawake
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Aaah wapi,
Huyu hata sina huruma nae,
Maaa najua Hana mapenz yoyote na Mimi,
Anapokua na shida zake ndo huwa ananitafuta.

Kwanza leo nashangaa kawa mstaarabu sana,maana kaomba ela ndogo Sana.
Huyu shida zake huwa zinaanzia elfu 20+, asipokua na shida hata Salam whatsapp kujibu huwa Ni Changamoto.

Siku ya kwanza Alikua na shida ya elfu 50 nimkope atarudisha mwisho wa mwezi akipata mshahara, nikamtumia tigopesa bila hata kuomba kukutana nae. Hata kusema "Asante nmepata" alishindwa.
Baada ya siku 3 mimi ndo nampigia kumuuliza Kama alipata, anasema "Asante nilipata" .

Mwisho wa mwezi ulivofika hakurudisha pesa, miez 3 ikapita nikakutana nae nikamuuliza khs Deni langu.

Akaanza kung'ata vidole, jion kanitumia picha za uchi. Nikaona huyu muuzaji.
Nisipojiongeza Hili deni ndo imeshatoka hiyo. Kwaiyo nikapita nae kufidia Deni.

Tangu kipind Hicho,
Akawa ananitafta anapokua na shida,
Namimi namtumia, Kisha namtatulia shida zake

KUNA MDA
MATENDO YENU WANAWAKE,
YANATUFANYA WANAUME TUNAONEKANA WADHALILISHAJI.
 
Ungetuma hiyo laki bhasi au 50000...!!
 
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
Sio Mara ya kwanza,
Ni Mara nyingi TU, nahs zaidi ya 6
Ni hivyo hivyo, akiwa na shida anakuja,
Namtumia Kisha namuachia posho yake anakwenda kutatua shida zake.
 
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
Huo sio mwandiko Wangu chief,
Huo Ni mwandiko wa huyo mwanamke
 
na hizo hela zote umeliwaa mzeee??? karibu laki na nusuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…