Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie kuna wanawake wanateseka sana
Jmn si umpe tu bila kumla…
Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Aaah wapi,
Huyu hata sina huruma nae,
Maaa najua Hana mapenz yoyote na Mimi,
Anapokua na shida zake ndo huwa ananitafuta.
Kwanza leo nashangaa kawa mstaarabu sana,maana kaomba ela ndogo Sana.
Huyu shida zake huwa zinaanzia elfu 20+, asipokua na shida hata Salam whatsapp kujibu huwa Ni Changamoto.
Siku ya kwanza Alikua na shida ya elfu 50 nimkope atarudisha mwisho wa mwezi akipata mshahara, nikamtumia tigopesa bila hata kuomba kukutana nae. Hata kusema "Asante nmepata" alishindwa.
Baada ya siku 3 mimi ndo nampigia kumuuliza Kama alipata, anasema "Asante nilipata" .
Mwisho wa mwezi ulivofika hakurudisha pesa, miez 3 ikapita nikakutana nae nikamuuliza khs Deni langu.
Akaanza kung'ata vidole, jion kanitumia picha za uchi. Nikaona huyu muuzaji.
Nisipojiongeza Hili deni ndo imeshatoka hiyo. Kwaiyo nikapita nae kufidia Deni.
Tangu kipind Hicho,
Akawa ananitafta anapokua na shida,
Namimi namtumia, Kisha namtatulia shida zake
KUNA MDA
MATENDO YENU WANAWAKE,
YANATUFANYA WANAUME TUNAONEKANA WADHALILISHAJI.