Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Acha kujieleza sana mkuu.
 
Efu kumi kitu gani jamaa!??..ungemuambia kistaarabu tu angekuelewa..yan ten tu mze unatokwa povu kiasi hicho??..
 
Sio kwamba nakupinga mtoa mada,

Bali vitu Vingine Wanaume tujiongeze,
Tuache kujitia aibu ndogo ndogo Kama hizi
Kizinga Cha elfu 10 sio Cha Kuna kuanzishia Uzi,Tena kwa HEADING ya kutishia usalama wa nguvu zako za kiume.

Nikuulize mtoa mada,
Kwani huyo mdada Lengo lako lilikua kumuoa au utelezi wake?

Wanaume tujifunze kila na vipofu,
Kama Lengo lako Ni utelezi, Sioni tatizo akikupiga kizinga kidg kugharamia uchafuzi (usafi wa mazingira)

Tena heri uyo wako,
kaomba Ela ndogo ambayo naamini Kama uko serious unataka utelezi wake sio swala la kujiuliza Mara mbili.
Jamaa ni mshamba..
 
Kuna mwanamke huwa ananitafta anapokua anashida zake, na Mimi always najua kula na kipofu.

Na sheria ya mwituni sikuzote inajulikana[emoji116]
"Ukitaka kula, ukubali nawewe kuliwa kidg"

Jion ya leo nategemea tukutane tukamilishe muamalaView attachment 2332332View attachment 2332334View attachment 2332335View attachment 2332336
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]


Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Kwanza anavyoandika tu utajua ni wa namna gani loh. Shida sana sisi wanawake
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]


Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Aaah wapi,
Huyu hata sina huruma nae,
Maaa najua Hana mapenz yoyote na Mimi,
Anapokua na shida zake ndo huwa ananitafuta.

Kwanza leo nashangaa kawa mstaarabu sana,maana kaomba ela ndogo Sana.
Huyu shida zake huwa zinaanzia elfu 20+, asipokua na shida hata Salam whatsapp kujibu huwa Ni Changamoto.

Siku ya kwanza Alikua na shida ya elfu 50 nimkope atarudisha mwisho wa mwezi akipata mshahara, nikamtumia tigopesa bila hata kuomba kukutana nae. Hata kusema "Asante nmepata" alishindwa.
Baada ya siku 3 mimi ndo nampigia kumuuliza Kama alipata, anasema "Asante nilipata" .

Mwisho wa mwezi ulivofika hakurudisha pesa, miez 3 ikapita nikakutana nae nikamuuliza khs Deni langu.

Akaanza kung'ata vidole, jion kanitumia picha za uchi. Nikaona huyu muuzaji.
Nisipojiongeza Hili deni ndo imeshatoka hiyo. Kwaiyo nikapita nae kufidia Deni.

Tangu kipind Hicho,
Akawa ananitafta anapokua na shida,
Namimi namtumia, Kisha namtatulia shida zake

KUNA MDA
MATENDO YENU WANAWAKE,
YANATUFANYA WANAUME TUNAONEKANA WADHALILISHAJI.
 
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
Sio Mara ya kwanza,
Ni Mara nyingi TU, nahs zaidi ya 6
Ni hivyo hivyo, akiwa na shida anakuja,
Namtumia Kisha namuachia posho yake anakwenda kutatua shida zake.
 
Kwa miandiko iyo ya xaw,mp, pign n.k halafu upo busy kabisa kutushahuri wanaume tuige mfano wako. Mimi hapa kwa uzoefu wangu uyo binti hatokuja na mzigo hupewi.
Huo sio mwandiko Wangu chief,
Huo Ni mwandiko wa huyo mwanamke
 
Pisi kazi mbovu mgerasi. Kunae moko nilikutana nayo kwenye ferry nika download namba ikakubali nakuja kutana nayo kuitoa lunch ya maana ikakata kama laki siku naiita ghetto ikaja nikakata tena kana 50 nataka kula mzigo inagoma nikaiambia haina kelele.

Saivi imebaki tu kunipigia na ku text desperately wala sina time nayo naona ilitaka nianze mambobya kuch kuch hontae bombay india.
na hizo hela zote umeliwaa mzeee??? karibu laki na nusuu
 
Back
Top Bottom