Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo michezo Yao wanawake wahuni,Siku hizi Ndo walivyo hawaombi nyingi ni kwaanzia elfu 10 haizidi 30. Na utakuta amewapanga kama ishirini hivi. Anauhakika na laki
mrangi
Daah noma sanaaa.... me nilipigwa kama 70 hivii na single maza kumchana ukweli aliponiomba tena akajidai ooho siuzii nkamwambia bhasi fresh pita hiviiKwangu mimi hiyo ni kama kununua vocha ya jero halafu ukaambiwa imetumiwa tayari. Sio issue. Class is permanent bro.
Kwanini mambo ya wawili unayatoa nje?Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Tunaotumia dough kwetu sio kitu ila uanijifunza kuwa kuna mamanzi wenye class na wengine wa uswazidaah noma sanaaa.... me nilipigwa kama 70 hivii na single maza kumchana ukweli aliponiomba tena akajidai ooho siuzii nkamwambia bhasi fresh pita hivii
Sasa kwanini hana bima? Pia ushaambiwa anakaa kwao...Mkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje....
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia.Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa......
Kamchana liveTsh 10,000 tu inaonekana ushakula mbususu ndo maana ufid q mwingi😀😀
Mtoa mada mzembe sana,upadri mwingiKamchana live
You mean katuangusha sisi Wahongaji??Mtoa mada mzembe sana
Jamaa Anajifanya mgumu,Tsh 10,000 tu inaonekana ushakula mbususu ndo maana ufid q mwingi[emoji3][emoji3]
Katuangusha mno mkuuYou mean katuangusha sisi Wahongaji??
Kama hutojali naomba namba ya uyo dada inbox. Alafu ntakueleza kituHuyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Mkuu akikaa kwao sheria inamtaka asiwe na marafiki.Tusiwe wapumbavu kuwa beza hawa mabint kisa elfu 10....Sasa kwanini hana bima? Pia ushaambiwa anakaa kwao...
Sikupingi,Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo
Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao
Mje tu mnipige
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5Sikupingi,
Ila jua Kutoa hata sh Mia kwa mwanamke ambae Hana maslahi yoyote kwako.
Inategemea na yeye wenyewe mwanamke kajiweka position gani
Wanaume hatuna roho mbaya kiivyo,
Hili Tatizo limetengenezwa na wanawake wenyewe.
Japo siungani na mtoa mada
Seriously wewe ni mwanamke unajaribu kudefine uanaume ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie mkiambiwa mwanamke wa kweli ni hivi mnasema fungeni midomo kwani nyie wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]. Mnashida aisee! Kama watu hawataki kuoa muwaache kwani nyie sindio mliosema ndoa silazima na wanawake ni strong and independent.Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo
Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao
Mje tu mnipige
Hivi kaombwa laki au mwekundu? Kama vile sijaiona vizuriKatuangusha mno mkuu
Wanawake wanadefine kutoa pesa ndio kujali, leo unataka kumuongopea kijana wakiume tena. Yaani kukutongoza tu nianze majukumu kwako wakati wewe mwenyewe hapo umewakubalia wanaume zaidi ya mmoja na unaanza kuchagua yupi bora, huo ni utapeli sasa. Mwanaume anawajibika kwa mkewe si mpenzi ambaye hata hamjajuana hata wiki au hata kuvalishana pete. Mwanaume sio mtumwa kwa mwanamke, muache kujiinua. Acha mwanaume atoe atakavyo, kama wewe usivyopendwa kulazimishwa.Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5