Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Kwanini mambo ya wawili unayatoa nje?
Real Gentlemen hatuko hivyo. Shilingionea mnasababisha wanaume wengi tuonekane tupo sawa! ☺️
 
daah noma sanaaa.... me nilipigwa kama 70 hivii na single maza kumchana ukweli aliponiomba tena akajidai ooho siuzii nkamwambia bhasi fresh pita hivii
Tunaotumia dough kwetu sio kitu ila uanijifunza kuwa kuna mamanzi wenye class na wengine wa uswazi
 
Mkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje....
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia.Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa......
Sasa kwanini hana bima? Pia ushaambiwa anakaa kwao...
 
Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo

Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao

Mje tu mnipige
 
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa... Na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Kama hutojali naomba namba ya uyo dada inbox. Alafu ntakueleza kitu
 
Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo

Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao

Mje tu mnipige
Sikupingi,
Ila jua Kutoa hata sh Mia kwa mwanamke ambae Hana maslahi yoyote kwako.

Inategemea na yeye wenyewe mwanamke kajiweka position gani

Wanaume hatuna roho mbaya kiivyo,
Hili Tatizo limetengenezwa na wanawake wenyewe.

Japo siungani na mtoa mada
 
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
 
Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo

Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao

Mje tu mnipige
Seriously wewe ni mwanamke unajaribu kudefine uanaume ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie mkiambiwa mwanamke wa kweli ni hivi mnasema fungeni midomo kwani nyie wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]. Mnashida aisee! Kama watu hawataki kuoa muwaache kwani nyie sindio mliosema ndoa silazima na wanawake ni strong and independent.

Makeup your mind my sisters. Mshauri kijana wako aendelee kuhonga uone kama atafikia malengo yake sasa. Waache mwanaume ajidefine mwenyewe, na sio ubahili hata kama nasaidia wazazi wangu, mwanamke ninani wakuniambia mimi bahili kisa simpi yeye wakati simjui hata. Be serious!
 
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
Wanawake wanadefine kutoa pesa ndio kujali, leo unataka kumuongopea kijana wakiume tena. Yaani kukutongoza tu nianze majukumu kwako wakati wewe mwenyewe hapo umewakubalia wanaume zaidi ya mmoja na unaanza kuchagua yupi bora, huo ni utapeli sasa. Mwanaume anawajibika kwa mkewe si mpenzi ambaye hata hamjajuana hata wiki au hata kuvalishana pete. Mwanaume sio mtumwa kwa mwanamke, muache kujiinua. Acha mwanaume atoe atakavyo, kama wewe usivyopendwa kulazimishwa.
 
Back
Top Bottom