Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Uyo wa bye bye forever bas alikuwa hakupelkei moto ipasavyoo
Hakuna yuko vizur sana mkuu

ishu mi sipendi mwanaume una zila zila, ka toto

anataka nani hizo karaha

yaani kununa unune wewe shida nipate mimi it can’t be……….
 
Kwani muda wako wa Kuuchuna Ushaisha!!! Endelea kuuchuna tuu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] me huyu mwingine hapa nahisi ndio tushaachana. ni week ya nne hii inaenda hakuna anayemsemesha mwenzie.[emoji3]
Umesimamia msimamo gani sasa, ila haipendezi kwa mwanaume kuwa na tabia ya kujikausha huku bado unanipenda hiyo pisi
 
Binafsi nimetumia pesa nyingi sana kumpata mwanamke aliye nizalia mtoto...yan hapo nilikuwa makin haswa....Nashukuru Mungu hta kama atabadilika mbeleni kikubwa mwanangu yupo sehemu salama...kwanza nilimtengenezea ajira yenye maslah kiasi ambacho kitaendana na kaz ninayo fanya mimi...
 
dogo tafuta hela ndio hazitafutiki kwa sasa hivyo vingine vipo tu! kwa taarifa yako huwenda alikuwa anakuvumilia tu hivyo fursa ilipotokea akakumwaga!
 
Hii sms aliyokuandikia haina Afya kabisaa...mkuu tembea na gap...Tafuta hela utakuja nishukuru hapa hapa..sms ina ukakas haswa..she has nothng to loose...!! Sms kama hii nikitumiwa sijibu chochote na namba nafuta hapo hapo..
 
Ulitaka msg iwe na afya gani? huyo manzi hujamjua kwa undani kama mlalamikaji yeye ndiyo anamjua vizuri manzi wake na namna ana sound msiwatenganishe watu kwa perception tu
 
Kiukweli walimu wa mkoloni walikuwa wanafundisha tena kwa viboko jinsi ya kuandika sio tu kiswahili fasaha bali na mwandiko sahihi.
Xjataf sijui maixh ...
Namna gani hii??
 
Yuko form ngap huyu mtoto??
 
Ulitaka msg iwe na afya gani? huyo manzi hujamjua kwa undani kama mlalamikaji yeye ndiyo anamjua vizuri manzi wake na namna ana sound msiwatenganishe watu kwa perception tu
Eti ukitaka utanitafuta na usipotaka sawa!!! Naona wa kufua amepatikana.. 😂😂😂 upuuzi tuu...kwa hyo miaka yote alikuwa anafua yy...?? Nakuzaba na block la hatari..!!!
 
Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]

Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.
Umemwaga Mboga yeye kamwaga Ugali. Ngoma droo mpaka matuta yapigwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…