Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

ukitaka kujua hyo pesa ina nguvu mtumie mama ako mzazi au msela wako kijiwen ndo utaelewa thaman yke
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nakula 15
maandazi waachie wengine.. wewe soft soft kula vitu lain lain..mayai mayai eeh!!.chapati za maji hiv yan vitu soft usiwe kama hawa mabint wa Chuga... usije ukaumiza utumbo bure.
Nitatuma elf 3 kwa mchanganuo huu
Egg chop 1 - 1,000/=
Chapat za maji lain 2 - 1,000/=
Maziwa fresh - 500/=
Ya kutolea - 500/=.
JUMLA 3,000/=.

HIzi ni rate za posta hapa mtaa wa Samora opposite na NBC bank
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sishibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…